Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,390
- 5,310
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za marubani wa kitanzania kutoka 11 hadi kufikia100 sasa.
Ikumbukwe ununuzi wa ndege hizi ulipingwa sana na Chadema.
Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”
Ikumbukwe ununuzi wa ndege hizi ulipingwa sana na Chadema.
Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”