Germany Will Become Islamic State, Says Chancellor Merkel.

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Germany Will Become Islamic State, Says Chancellor Merkel.

Family Security Matters
By Paul Williams, PhDChancellor Angela Merkel said that Germans have failed to grasp how Muslim immigration has transformed their country and will have to come to terms with more mosques than churches throughout the countryside, according to the Frankfurter Allgemeine Zeitung daily.

"Our country is going to carry on changing, and integration is also a task for the society taking up the task of dealing with immigrants,” Ms. Merkel told the daily newspaper. "For years we've been deceiving ourselves about this. Mosques, for example, are going to be a more prominent part of our cities than they were before.”

Germany, with a population of 4-5 million Muslims, has been divided in recent weeks by a debate over remarks by the Bundesbank's Thilo Sarrazin, who argued Turkish and Arab immigrants were failing to integrate and were swamping Germany with a higher birth rate.

The Chancellor’s remarks represent the first official acknowledgement that Germany, like other European countries, is destined to become a stronghold of Islam. She has admitted that the country will soon become a stronghold.

In France, 30% of children age 20 years and below are Muslims. The ratio in Paris and Marseille has soared to 45%. In southern France, there are more mosques than churches.

The situation within the United Kingdom is not much different. In the last 30 years, the Muslim population there has climbed from 82,000 to 2.5 million. Presently, there are over 1000 mosques throughout Great Britain - - many of which were converted from churches.

In Belgium, 50% of the newborns are Muslims and reportedly its Islamic population hovers around 25%. A similar statistic holds true for The Netherlands.

It’s the same story in Russia where one in five inhabitants is a Muslim.

Muammar Gaddafi recently stated that "There are signs that Allah will grant victory to Islam in Europe without sword, without gun, without conquest. We don’t need terrorists; we don’t need homicide bombers. The 50 plus million Muslims (in Europe) will turn it into the Muslim Continent within a few decades.”

The numbers support him.

FamilySecurityMatters.org Contributing Editor Paul L. Williams, Ph.D., is the author of The Day of Islam: The Annihilation of America and the Western World, The Al Qaeda Connection, and other best-selling books. He is a frequent guest on such national news networks as ABC News, CBS News, Fox News, MSNBC, and NPR. Visit his website at The Last Crusade. (...)source: europenews
 
Kwa rafiki yangu Kipala, wewe upo uko Ujerumani ebu tufahamishe hali hipo vipi uko?
 
I think is the issue of decision. If whites Islamic Religion Peacefuly wiithout Terrorism or any force its ok to them and its up to them..When they come to realise that they have lost their roots it will be too late.
 
There will be another Hitler..count my words..this time will be Islam's turn
:bowl:
 
Kichwa cha thread ni ya aina ile Wamarekani wanaita "mavi ya ng'ombe dume". Merkel hakusema kitu kama hiki hata kidogo. Ukilinganisha "nukuu ndani ya makala" (ambayo ni kweli, nafikiri) na mengine aliyoandika mwandishi unaona jinsi gani alivyoingiza uwongo. Merkel hakusema kitu kuhusu "msikiti zaidi kushinda makanisa" wala hajaongea juu ya "stronghold".

Ujerumani kuna majidiliano ya kuwakubali rasmi katika jamii Waislamu waliofika nchini wakati wa miaka 30, 40 iliyopita. Wako kwa jumla asilimia 4 za wakazi wa nchi. Wanasiasa wa Ujerumani waliwaona miaka mingi watu hao hasa kutoka Uturuki ni wageni tu watakaorudi kwao siku moja. Kumbe watu wameanza kuelewa hawarudi wako wanabaki - lakini hadi sasa jitihada za kuwaingiza katika jamii, kuwapa nafasi ya kujifunza lugha n.k. hazikutosha pia hao wenyewe mara nyingi wamekaa kati yao pekee. Hapa Merkel alisema: wako, wamekuwa wenzetu, lazima wafijunze zaidi taratibu na sheria zetu, wana uhuru wa kidini pia kwa hiyo tuzoee kuona msikiti hapa na pale.

Lakini kaka mbona unarudia hapa kitu ulichofanya kuhusu Terry Jones? Maana unachukua jambo kutoka intaneti bila kuchungulia. Hii ni hoax pia!
a) Europenews ni tovuti inayokusanya hasa habari baya au za kutisha kuhusu "hatari ya Kiislamu" . Tazama vichwa vyao http://europenews.dk/en/node/5695

b) huyu mwandishi "Paul Williams, PhD" anaonekana ni yeye yule Paul L. Williams, PhD kutoka Marekani anayejipatia riziki yake kwa kulilia "hatari ya Uislamu" duniani; inaonekana yeye mtaalamu sana kuchora picha eti baada ya miaka kadhaa Taliban watatawala dunia. Anajua kitabu chenye kichwa kama "The Day of Islam: The Annihilation of America and the Western World" kitamlisha vizuri huko Marekani.
Namwona kidogo juu ya kiwango cha yule Terry Jones lakini wako ndugu kiroho nisipokosei.

Sijui kama umefurahia au kusikitika kichwa cha habari lakini yote ni bure maana umemsikia mpiga makelele anayepazia habari ndogo na kuipakia rangi za kutisha tena kwa uwongo kwa biashara yake ya kuuza makala na vitabu.
 
Ndio maana nikakuuliza wewe uliye mkaazi wa Ujerumani, utufahamishe mambo yanayo jiri uko.
 
Germany watainjoy the Muslim Civilazation. Muslim ni watu wenye kupenda amani na maendeleo.
 
It is the evolution of Hitler Jr. Just wait and see! One of my German co worker once said "Islam and terrorism are one bed fellow".
wanayosema wanasiasa ili kutaka kura za waislamu ni tofauti na situation on the ground.
 
I think is the issue of decision. If whites Islamic Religion Peacefuly wiithout Terrorism or any force its ok to them and its up to them..When they come to realise that they have lost their roots it will be too late.

too late?!. No, ile vita iliyo tabiriwa-almagedon-yaja.
 
Unajua hawa caucasians hawataki kuzaa, hata wakizaa ni mtoto 1 au 2 tu, hivyo ethnic minorities, whether racial (blacks & hispanics) or religious (muslims) ambao wanazaa watoto wengi ndiyo wanaongezeka kwa wingi katika hizi developed countries.
Hivyo hii story mtu anaweza hata kui-spin ikawa juu ya mfano "The United States to be a caucasian-minority state by year 2XXX".
The issue is birth-rate baby...
Wanaobania nanihii zao watazidi kupungua...
 
Umepata wapi fujo hiyo?
Si swali la rangi au mbari ni swali la utajiri au umaskini.
Kote duniani watu maskini huzaa sana. Pale ambako umaskini unapungua idadi ya watoto inapungua. Linganisha Dar na UnyaXXXini mashambani. Hivyo katika nchi penye wahamiaji wa nje. Kama watu hao wanaingia kufanya kazi duni ni maskni kuliko wastani ya taifa wanazaa zaidi. Jinsi wanavyopanda ngazi watoto wanapungua.
Kwa hiyo unapata wazungu ("Caucasian" ni teno moja kati ya maneno ya Kimarekani yasiyo na msingi maana nani ametoka milima ya Kaukazi ??) wanaozaa sana wakiwa maskini (nchi kadhaa hasa Ulaya Mashariki-Kusini) lakini baada ya kupanda kwa hali ya maisha wengi wana watoto wachache.
 
the eise of Islamic empire? Watafanya kama walivyofanya kwa Bythinia aka Uturuki? Na hapa tanzania tukae macho. Haichelewi kuitwa Islamic Republic of Tanzania
 
It is the evolution of Hitler Jr. Just wait and see! One of my German co worker once said "Islam and terrorism are one bed fellow".
wanayosema wanasiasa ili kutaka kura za waislamu ni tofauti na situation on the ground.

At least wanasiasa wanawasikiliza Waislamu, huko Gemany.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom