germany shephard puppies needed

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
nawahitaji walili wasiwe wadogo........umri chini ya miezi minne ningewapendelea zaidi...kwa atakae kuwa nao tuwasiliane kwa namba ifuatayo kuzungumzia namna biashara inavyoweza kufanyika na bei 0718355635
 
Kaka hao mbwa noma sana! Nchi nyingine wamepigwa marufuku

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Kaka hao mbwa noma sana! Nchi nyingine wamepigwa marufuku

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Acha sound wewe! Hao ni mbwa common duniani hasa kwenye majeshi. Kama kuna mtu anao Hao puppies mkoani MBEYA aniPM.
 
Acha sound wewe! Hao ni mbwa common duniani hasa kwenye majeshi. Kama kuna mtu anao Hao puppies mkoani MBEYA aniPM.

Mjomba sound za nini?? Unajua kua hao mbwa UK na France watu wa kawaida wanapikonywa?? Hebu google kidogo uone wameumiza watu wangapi na kuua watoto wangapi

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Mjomba sound za nini?? Unajua kua hao mbwa UK na France watu wa kawaida wanapikonywa?? Hebu google kidogo uone wameumiza watu wangapi na kuua watoto wangapi

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Usichanganye German Shepherd na Rottweiler
 
Mjomba sound za nini?? Unajua kua hao mbwa UK na France watu wa kawaida wanapikonywa?? Hebu google kidogo uone wameumiza watu wangapi na kuua watoto wangapi

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

No...!!

Germany shephard ni wengi tu hata hapa Tz wanauza, maeneo ya Victoria, Dar walikuwapo...
 
One pure female puppy, four months is available! PM me if you are interested @ 500,000/=
 
Dah!!!! ASANTE sana kwa kunisahihisha, ni kweli nilichanganya! Shukran

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Karibu, Rottweiler ni walinzi wazuri but very aggressive! Nawatamani lakini najishauri....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom