Naona una hamu ya kutapeliwa sasaWakuu Amani kwenu.!
Hivi ni kweli hizo pesa za rupia zina soko?
Kuna mtu anayo na alinishirikisha sasa naomba kama kuna yeyote anajua habari za soko lake anijuze hapa jamvini..!
Asanteni sana.
Siyo kila rupia ina soko.Nitafute pm.Wakuu Amani kwenu.!
Hivi ni kweli hizo pesa za rupia zina soko?
Kuna mtu anayo na alinishirikisha sasa naomba kama kuna yeyote anajua habari za soko lake anijuze hapa jamvini..!
Asanteni sana.
***Mkuu kumbe na wewe unaamini utajiri unapatikana kwa ushirikina?
Kuna huzi humu jukwaa la biashara kuhusiana na rupia....uchambue kwa umakini mkubwaNaendelea kupokea mawazo yenu .. Ni vema kama unafahamua chochote unitonye maana wakuu hapa naona wameanza kusema mambo ya ushirikina na kutapeliea sema ndo sijaelewa sasa how?
Mkuu kwanini unasema hivyo?