German firm Strabag wins $137.8m bid for Dar roads, flyovers

Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.

Ningelipendekeza kujenga somewhere Buguruni kati ya Reli ya TAZARA na Reli ya kati na wakati ule ule ni One Way kwenda Air Port. Kutoka hapo, ijengwe barabara moja kwa moja kwenda Ubungo na pawe na Fly-Over au wajenge RING nyingine kama ilivyo Mandela Road na hiyo barabara ije hadi hapo kwenye kituo cha Mabasi.

Kujenga kituo cha mabasi nje ya MJI au AIRPORT ni kuonyesha kwa kiasi gani MIJITU inavamia fani za watu bila kujua.

Nenda hata Washington, Railway Station inakuja hadi almost kwenye jengo la Congress.

Sweden wao wameunga kituo cha mabasi, Metro na Railway Station katika sehemu moja na mjini kabisa Stockholm.

Ila sisi tunataka tuweke PORINI, sasa sijui ukishuka huko usiku, utaendaje nyumbani na vibaka hawa mitaani.

Kuna mtu akili zake kwa kweli si sawa na kama ni homeboy Magufuli, tafadhali okoa hela za Taifa hili maana hiki kituo na Airport nje ya mji wa Dar, hakuna atakayetaka kuteremkia huko. Mie ni heri nilipe dola 100 zaidi na niteremkie JKNIA Kipawa kuliko niteremkie Bagamoyo saa moja asubuhi na kuingia foleni ya Dar na kuja kufika Temeke nyumbani, imeshakuwa saa sita mchana.

Tafadhali Magufuli, panueni hiyo barabara ya Morogoro na wekeni hizo Fly Over. Airport ibaki hiyo ya Dar ambayo nasikia hata kuipanua mmeshindwa maana hela mmeishiwa (data zipo kwenye Internet na hiyo ramani ya Wachina).
 
DAR ES SALAAM | Julius Nyerere International Airport Terminal III | U/C - SkyscraperCity Terminal III

Nasikia wameishiwa hela, hihihiiii...............

Tanzania aviation news – Dar's JNIA set to play catch up, but how and when

Posted December 18, 2011

NOW DARS JNIA ALSO RUSHES TO CATCH UP WITH DEMAND RISES
Information has been received from regular aviation sources in Dar es Salaam, that the countrys main international airport, Julius Nyerere International, has finally and apparently been shocked into a reaction too, following frequent reports in regional media and aviation circles of the determined efforts put up in the wider region to expand, modernize and refurbish the key airports in Nairobi, Kigali where in fact an entirely new airport is supposed to open by 2016 at Bugesera with Entebbe and Kilimanjaro International also at the verge of starting major new expansions.

Aviation in Tanzania, while crucially important to bring tourists and business visitors to the country, has always had the stigma of a step child at best and the lukewarm on and off decisions over the almost invisible national airline Air Tanzania, as well as the equally lukewarm attitude towards the countrys largest airline Precision Air by government speaks volumes as to the importance aviation is given in government circles.

It is understood that principle consent has now been indicated to commence the planning of a third terminal in Dar es Salaam, to cater for what is generally expected to be fast rising passenger and cargo volumes.

Unlike in neighbouring countries though, and probably again showing the lack of understanding of how aviation works, has the source in Dar mentioned that the Tanzania Airport Authority is seeking a partnership with a private investor, either due to lack of funds or inability to put a financing package into place swiftly enough to provide timely capacity relief.

Going by past public private partnership experiences in Tanzania, as seen in the attempt to privatize the railways, privatize water and introduce private companies in electricity production, this is worth watching how it will develop and finally emerge, and if this venture will stand the test of time, and the test of inevitable politics in Tanzania and bring the benefits as the aviation fraternity is hoping for. So for now it is merely an expression of interest, nothing firm nor concrete and without the timelines the airline industry has been waiting and hoping for. Watch this space for regular breaking news and news updates from Eastern Africa and the Indian Ocean islands aviation scene.

Tanzania aviation news – Dar's JNIA set to play catch up, but how and when « Wolfganghthome's Blog

Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.
Hapo ktk RED-Strong disliked.

Hujatembea mzee, wenzetu wako mbali kama hamtaki changisheni fedha kuwe na njia underground ili wote muibukie Posta
 
Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.

Ningelipendekeza kujenga somewhere Buguruni kati ya Reli ya TAZARA na Reli ya kati na wakati ule ule ni One Way kwenda Air Port. Kutoka hapo, ijengwe barabara moja kwa moja kwenda Ubungo na pawe na Fly-Over au wajenge RING nyingine kama ilivyo Mandela Road na hiyo barabara ije hadi hapo kwenye kituo cha Mabasi.
Umekimbilia wapi wakati tender za kutoa ushauri kwa wizara ulikuwa hapa JF umekomaa kumsusa JK..

Wenzako wanaojiita engineers, town planners, wachumi (wote graduate) wameshauri hivyo...

Tupo kwenye utekelezaji wajuaje wengi...

Nchi hii itamalizwa na wasomi wapiga domo kama nyinyi..lol
 
Kwakweli naogopa kushabikia lolote kwa sasa....

Well hiyo ni hatua safi, japo kwa sasa ilitakiwa tuwe mbali zaidi ya hapo!

Kusema kweli bila kubadili namna ya utendaji katika idara za Tanroad na wizarani pale, kuna mambo nayaona...

1. Mradi kugeuka porojo na ndoto za mchana...
2. Maangamizi makubwa sababu ya ubabaishaji na ufisadi wa maeneo hayo mawili
 
Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.

Ningelipendekeza kujenga somewhere Buguruni kati ya Reli ya TAZARA na Reli ya kati na wakati ule ule ni One Way kwenda Air Port. Kutoka hapo, ijengwe barabara moja kwa moja kwenda Ubungo na pawe na Fly-Over au wajenge RING nyingine kama ilivyo Mandela Road na hiyo barabara ije hadi hapo kwenye kituo cha Mabasi.

Kujenga kituo cha mabasi nje ya MJI au AIRPORT ni kuonyesha kwa kiasi gani MIJITU inavamia fani za watu bila kujua.

Nenda hata Washington, Railway Station inakuja hadi almost kwenye jengo la Congress.

Sweden wao wameunga kituo cha mabasi, Metro na Railway Station katika sehemu moja na mjini kabisa Stockholm.

Ila sisi tunataka tuweke PORINI, sasa sijui ukishuka huko usiku, utaendaje nyumbani na vibaka hawa mitaani.

Kuna mtu akili zake kwa kweli si sawa na kama ni homeboy Magufuli, tafadhali okoa hela za Taifa hili maana hiki kituo na Airport nje ya mji wa Dar, hakuna atakayetaka kuteremkia huko. Mie ni heri nilipe dola 100 zaidi na niteremkie JKNIA Kipawa kuliko niteremkie Bagamoyo saa moja asubuhi na kuingia foleni ya Dar na kuja kufika Temeke nyumbani, imeshakuwa saa sita mchana.

Tafadhali Magufuli, panueni hiyo barabara ya Morogoro na wekeni hizo Fly Over. Airport ibaki hiyo ya Dar ambayo nasikia hata kuipanua mmeshindwa maana hela mmeishiwa (data zipo kwenye Internet na hiyo ramani ya Wachina).

kaka kaangalie Hong kong uone... stand ya mabasi na kituo cha ndege vimejengwa nje kabisa ya hong kong na ilisaidia kupunguza foleni. Vodacom nao wanajenga ofisi kule bunju. ww ukikaa temeke haimaanishi bunju ni mbali kwa kuwa hata wakati ubungo inaanza hapakuwepo mbagala and this was early 60s. Miji ambayo haikupangwa kiramani huwa ni mizito kuipanga kama ilivyokuwa hong kong by 90s. solution ikawa ni lazima kila kitu kijengwe mbali na msongamano wa magari. Lakini bado hata hong kong foleni ni kubwa. New york na stockholm ni wako mbali sana na ramani zao ni za zamani saaana. Hata watu stockholm wameanza kuhama na kwenda miji ya mbali kidogo kama uppsala na kwa kuwa kuna treni mambo shwari. cha msingi iwekwe reli toka huko mpaka posta au mbagala na kila kitu kitakuwa shwari kuliko kuleta hoja mufilisi eti dola mia.. upuuuuzi huo unaonekana umesoma lakini hujui kitu
 
Nyie wakuja, wenzenu wanajenga hivyo vitu nje ya MJI na wanajenga Underground Train......

Kutoka Frankfurt hadi Kolon kwa train na ndege ni almost sawa kabisa......

Sasa njoo Tanzania kutoka Bunju kufika Posta itakuwa kasheshe.

Tanzania hasa Dar, huwezi ukajenga Metro, maana hizo mvua za Dar ni kasheshe....

Labda kujenga reli ya juu kwa juu...............

Tatizo la wengi hapa wakiona kitu, wanadandia TGV kwa mbele bila kujua wenzetu wanafanya mambo kwa IF.... Then....

Mitanzania mingine bana....... Halafu inakuja hapa kusema TEMBEA. Si lazima utembee kujua nini kimefanyika.

Canada wakati wa mashindano ya Olympic, walijenga kiwanja cha ndege nje ya mji na hivyo vikawa viwili na kwa sasa kile kimoja sijui kimebaki cha jeshi na mizigo? Pamoja na kuwa ni kikubwa sana. Mzee, watu wanatumia DATA na History kufanya mambo. Kama ungelisomea UJENZI ungelijua hili. Ila hii kitu inasemwa KUTEMBEA basi umeshajua kila kitu, ndiyo MUFILISI wenyewe.

Kuna miji wana Airport zaidi ya Tatu na mwisho reli za mwendo kasi kuja MJINI. Berlin wanajaribu hilo ingawa hadi leo bado wana wasiwasi nini kitatokea. Soma mtu wangu na si kuvamia tu mambo eti kwa sababu umetembea. Akili za Mbayuwayu :)
 
I agree with Sikonge! Kupeleka kituo bunju kwa sasa haiko ok kwa jinsi miundo mbinu ilivyo! Ijengwe underground train to reach that terminal or pale ubungo pakipanuliwa na kujenga flyover na kupanua barabara mpaka kibaha or chalinze itakuwa better than going to bunju. Wazo tu.
 
Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.

Ningelipendekeza kujenga somewhere Buguruni kati ya Reli ya TAZARA na Reli ya kati na wakati ule ule ni One Way kwenda Air Port. Kutoka hapo, ijengwe barabara moja kwa moja kwenda Ubungo na pawe na Fly-Over au wajenge RING nyingine kama ilivyo Mandela Road na hiyo barabara ije hadi hapo kwenye kituo cha Mabasi.

Kujenga kituo cha mabasi nje ya MJI au AIRPORT ni kuonyesha kwa kiasi gani MIJITU inavamia fani za watu bila kujua.

Nenda hata Washington, Railway Station inakuja hadi almost kwenye jengo la Congress.

Sweden wao wameunga kituo cha mabasi, Metro na Railway Station katika sehemu moja na mjini kabisa Stockholm.

Ila sisi tunataka tuweke PORINI, sasa sijui ukishuka huko usiku, utaendaje nyumbani na vibaka hawa mitaani.

Kuna mtu akili zake kwa kweli si sawa na kama ni homeboy Magufuli, tafadhali okoa hela za Taifa hili maana hiki kituo na Airport nje ya mji wa Dar, hakuna atakayetaka kuteremkia huko. Mie ni heri nilipe dola 100 zaidi na niteremkie JKNIA Kipawa kuliko niteremkie Bagamoyo saa moja asubuhi na kuingia foleni ya Dar na kuja kufika Temeke nyumbani, imeshakuwa saa sita mchana.

Tafadhali Magufuli, panueni hiyo barabara ya Morogoro na wekeni hizo Fly Over. Airport ibaki hiyo ya Dar ambayo nasikia hata kuipanua mmeshindwa maana hela mmeishiwa (data zipo kwenye Internet na hiyo ramani ya Wachina).

Mwandishi Hajachemsha hii kampuni imeanzishwa mwaka 1876 Unajua wakati huo Ujerumani na Austria ilikuwa nchi Moja nadhani kama Ulisoma Tanzania Ulisoma Vita vya kwanza vya Dunia...

Check some Info below
...

"Strabag is a European construction company based in Villach, with its headquarters in Vienna, Austria). It is the largest construction company in Austria and one of the largest construction companies in Europe. Strabag's current CEO is Hans Peter Haselsteiner.
STRABAG is active in its home markets Austria and Germany and in all countries of Eastern and South-East Europe, in selected markets in Western Europe, on the Arabian Peninsula, as well as in Canada, Chile, China and India. In these markets STRABAG has subsidiaries or operates on a project-basis."
 
Mkuu sintataka kubishana na wewe kwa hili.

Ukitembea kwenye majumba au highway wanazojenga zote, anwani yao ni AUSTRIA.

Anyway, ni sawa na kampuni fulani iliyopo Rwanda au Burundi iandikwe ni kampuni wa Tanzania na kisa kwa sababu Rwanda au Burundi zilikuwa ni part ya Tanganyika wakati kampuni inaanzishwa.

Anyway, tuseme mie ndiyo nimechemsha na hii ni kampuni ya GERMAN mji wa VIENNA.

Mwandishi Hajachemsha hii kampuni imeanzishwa mwaka 1876 Unajua wakati huo Ujerumani na Austria ilikuwa nchi Moja nadhani kama Ulisoma Tanzania Ulisoma Vita vya kwanza vya Dunia...

Check some Info below
...

"Strabag is a European construction company based in Villach, with its headquarters in Vienna, Austria). It is the largest construction company in Austria and one of the largest construction companies in Europe. Strabag's current CEO is Hans Peter Haselsteiner.
STRABAG is active in its home markets Austria and Germany and in all countries of Eastern and South-East Europe, in selected markets in Western Europe, on the Arabian Peninsula, as well as in Canada, Chile, China and India. In these markets STRABAG has subsidiaries or operates on a project-basis."
 
Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Nimegoogle kuhakikisha na kukuta ni kweli data zangu maana nilifikiri labda Wageruman wamenunua.

Kujenga stendi ya Mabasi nje ya mji ni USHAMBA uliopita kiasi.

Ningelipendekeza kujenga somewhere Buguruni kati ya Reli ya TAZARA na Reli ya kati na wakati ule ule ni One Way kwenda Air Port. Kutoka hapo, ijengwe barabara moja kwa moja kwenda Ubungo na pawe na Fly-Over au wajenge RING nyingine kama ilivyo Mandela Road na hiyo barabara ije hadi hapo kwenye kituo cha Mabasi.

Kujenga kituo cha mabasi nje ya MJI au AIRPORT ni kuonyesha kwa kiasi gani MIJITU inavamia fani za watu bila kujua.

Nenda hata Washington, Railway Station inakuja hadi almost kwenye jengo la Congress.

Sweden wao wameunga kituo cha mabasi, Metro na Railway Station katika sehemu moja na mjini kabisa Stockholm.

Ila sisi tunataka tuweke PORINI, sasa sijui ukishuka huko usiku, utaendaje nyumbani na vibaka hawa mitaani.

Kuna mtu akili zake kwa kweli si sawa na kama ni homeboy Magufuli, tafadhali okoa hela za Taifa hili maana hiki kituo na Airport nje ya mji wa Dar, hakuna atakayetaka kuteremkia huko. Mie ni heri nilipe dola 100 zaidi na niteremkie JKNIA Kipawa kuliko niteremkie Bagamoyo saa moja asubuhi na kuingia foleni ya Dar na kuja kufika Temeke nyumbani, imeshakuwa saa sita mchana.

Tafadhali Magufuli, panueni hiyo barabara ya Morogoro na wekeni hizo Fly Over. Airport ibaki hiyo ya Dar ambayo nasikia hata kuipanua mmeshindwa maana hela mmeishiwa (data zipo kwenye Internet na hiyo ramani ya Wachina).

Siyo kwamba kutakua na kituo kimoja. Mabasi ya morogoro, iringa, mbeya, songea, dodoma yatakua na kituo huko huko mbezi/kimara. Kaskazini Bunju na yale ya mtwara, lindi huko temeke. Kutakua na mabasi yaendayo kasi ku transfer abiria kutoka upande mmoja wa mji kwenda mwingine. After all Bunju ndo mji wenyewe, sijui unatumia vigezo gani kusema nje ya mji.
 
Huyu Mwandishi kachemsha maana naifahamu hii kampuni kama ya Austria.

Hapana mkulu kampuni ni STRABAG International na makao yao makuu ni Cologne Germany

.........Airport ibaki hiyo ya Dar ambayo nasikia hata kuipanua mmeshindwa maana hela mmeishiwa (data zipo kwenye Internet na hiyo ramani ya Wachina).

Kuna wakati yale mabango Airport yaliandikwa kampuni moja ya kichina ndio itajenga hiyo airport na ni hio kampuni ilojenga first class lounge pale airport.......sasa kuna tetesi kuwa wamekwamishwa wizarani kwa sababu ya ile kawaida yetu 10%.

Sasa yale mabango yamefutwa hata hilo jina la kampuni ya kichina.......
 
Nafikiri sred ingepata wachangiaji wengi, kama ingekuwa na kichwa cha habari ya msongamano wa magari umezidi, na hakuna hata idea ya kutafuta tiba.

unaongea nn we kiazi?kama kama uwezi kutoa point piga kimya.
 
Hahaha, tusi_discuss kitu kilichoandikwa tu, na hatujui utekelezaji wake...tusiwe watu wa kulewa maneno, tuwe watu wa kushuhudia afu ndo tuongee.

waTz ndo maana tunaitwa wadanganyika... Hiyo project tusubiri ianze na iishe ndo tuje hapa kujadili....
Otherwise tuta_discuss story za alinacha tu hapa.

Tanzania tuna project za maandishi kama hizi, zaidi ya 1000. Na hakuna hata moja iliyoanza.. Na kila siku tunapewa data kama hizi.

Project kubwa ya kupunguza msongamano Dar ilikuwa ni kuamisha Capital City to Dodoma. Lakini mpaka leo hili swala ni story tu... Ofisi zote za serikali ziko Dar(hakuna mtu asiyefahamu hili)..... Na naamini kila mtu ana data za Dodoma kuwa "capital city.. hata mtoto mdogo wanazo....

Great thinkers tusikae tukijadili haya maandishi. Tujadili vitendo.

That why nasema sometimes hizi serikali zetu zinatudanganya zinavyotaka... Kwasababu wanajua, waTanzania wakiletewa tu story kama hizi, ni rahisi kuamini.,, afu kesho tumesahau

Umeme mpaka leo ni story.... Nenda wizara ya Nishati. Utapata story kama hizi nyingi tu, zimazohusiana na umeme... Lakini mtaani mgao kama kawaida.

Jamani mmesahau Ben Mkapa amewaambiwa wana ARumeru alikuwa "anawatania"??? (Afu huyu ndo raisi mstaafu, tuliyekuwa tunamweshimu) Hahaha
 
Mimi sidhani swala la stand na uwanja wa ndege kwua Bagamoyo ni uamuzi wa JK.

Ni swala la wataalamu kuona wapi kuna nafasi ya kuweza ku accomodate hizo facilities.

Nisichoelewa ni kwamba mabasi yote kwenda hadi bunju si nayo yataongeza msongamano?
 
Swala la kupanua barara za katikati ya mji vp? Au zinatosha upana wake? Au tunagopa? Kama hatuwezi kupanua barabara za katikati pia, basi hii iweold dar na tuanzw mji wa ikweli mahali pengine
 
Hii Stand ya Ubungo Mimi Naona ni Muhimu Ikawa Maintained!! Huwezi Ukawatoa watu City centre,Temeke, Ilala, Mbagala ,Mwenge ,sINZA na kuwapeleka Bunju kwa ajili ya Bus Stand! Naomaba aliyetoa Wazo Hilo afikirie Upya!! Kwanza Msongamano wa kutoka katikati ya jiji Hadi Kufika Bunju wameuhusisha?? Ila napenda kuwashauri kuwa pale ubungo ni strategic point kwa stand na eneo ni Kubwa kinachotakiwa kufanyika ni kuboresha miundombinu Kuingia na Kutoka, Waweke Deckers!! Yaani Mabasi yapaki Juu na chini!! Pia kwenye Hizo fly over Matokeo ya Mabasi yahusishwe!! Tumesoma ili kufikiria kitaalamu kuboresha na sio kuwakimbizia watu nje ya Mji bila kuwa na Njia za kuweza kufika huko Nje ya mji!!
 
Back
Top Bottom