GERALD MAYO VS SHETANI NA STAFF WAKE

Yurayezekiel

Member
Dec 3, 2018
81
60
Mwaka 1971, Mfungwa Gerald mayo alifungua kesi dhidi ya shetani na watumishi wake. Kesi yenye jina Gerald mayo v satani and his staff, na namba 54 F.R.D 282 (w.d.p.a1971). Mlalamikaji alikuwa anamshtaki shetani kwa kuweka vikwazo vingi katika maisha yake na kumsababishia maisha magumu.

Jaji alifuta kesi hiyo kwa kusema kuwa mshtakiwa sio raia wa marekani na hapatikani nchini humo.
FB_IMG_1547228411726.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1971, Mfungwa Gerald mayo alifungua kesi dhidi ya shetani na watumishi wake. Kesi yenye jina Gerald mayo v satani and his staff, na namba 54 F.R.D 282 (w.d.p.a1971). Mlalamikaji alikuwa anamshtaki shetani kwa kuweka vikwazo vingi katika maisha yake na kumsababishia maisha magumu.

Jaji alifuta kesi hiyo kwa kusema kuwa mshtakiwa sio raia wa marekani na hapatikani nchini humo.View attachment 992042

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haaa haa ... aisee haaaa haaaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom