Gerald Hando kadorora E-Fm

Brown ad

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
345
204
Mimi nilikua shabiki msikilizaji mzuri sana wa Power Breakfast ya Clouds Fm nakiri kiukweli bwana Gerald Hando ndiye aliyenihamasisha kuwa msikilizaji wa kila siku na alipohama kwenda E-fm nikahama naye

Ila nikaendelee kupata ile ladha yake!! ila nasikitika kusema kuwa baada ya kuhamia huku alipo sasa ile ladha yake imepotea ambapo sijajua tatizo ni yeye kupania sana kuuonesha ule ubora wake au team work yake aliyonayo huku sio bora kama alipokua awali!!

Gerald kaishia kuwa mrusha vijembe tu! ! Gerald kaishia kuwa mcheza show na yule Musa kipanya
 
Huyo Gerald yaani ninavyomuona pale efm yupo kimwili tu,lakini kiakili na mawazo na fikra bado zinawaza clouds fm,ipo siku anaweza kuisahau na kutamka clouds fm badala ya efm,mi nadhani uamuzi wa kuondoka clouds aliufanya kwa jazba au maringo kwa kuwa halikutarajiwa na lilikuwa la ghafla kwa sisi wa nje,japo lilianza kama tetesi.
 
Mimi nilikua shabiki msikilizaji mzuri sana wa Power Breakfast ya Clouds Fm nakiri kiukweli bwana Gerald Hando ndiye aliyenihamasisha kuwa msikilizaji wa kila siku na alipohama kwenda E-fm nikahama naye

Ila nikaendelee kupata ile ladha yake!! ila nasikitika kusema kuwa baada ya kuhamia huku alipo sasa ile ladha yake imepotea ambapo sijajua tatizo ni yeye kupania sana kuuonesha ule ubora wake au team work yake aliyonayo huku sio bora kama alipokua awali!!

Gerald kaishia kuwa mrusha vijembe tu! ! Gerald kaishia kuwa mcheza show na yule Musa kipanya
Anajielewa sana hakuwa tayari kuutumiakia mfumo tangu wakati wa kampeni mwaka jana alikuwa tofauti na wengine......anajitambua na isitoshe maisha yake yanasonga zaidi ya watu wengine wananvyofikiria......
 
Ni maisha. Kila kitu kina mda wake. We are all in the same basket. Hata wewe leo kuna watu unakutana nao wanasema so and so kachoka.....I mean ni cycle ya maisha ya binadam. Kila mtu ana kipindi chake. Kikubwa is to accept reality when time comes.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom