Nilipo quotealikopelekwa msitu wa Pande kuna watu wengine au madaktari wengine walikuwepo kwa hiyo lawama isielekezwe kwa serikali.Jambo hili linahiataji uchunguzi huru ili kuupata ukweli halisi wa jambo hili.Leo pia katika jicho la ng¡¯ombe ameongea kwa vijembe kuwa katika bunge la bajeti wabunge hawazungumzii masuala ya bajeti na badala yake wanaingiza hoja za kibinafsi(personal) akitolea mfano kuwa mamabo ya mitaani kama kufumaniwa mwishoe yataongelewa bungeni.
Una maana CCM ikondoka madarakani uhuru wa habari hauto kuwepo?au kutakuwa na vyomba vya habari vya fia chama chama kitakacho tawala mwako huo?Mimi natamani 2015 ifike na CCM ambayo haitakuwa madarakani sasa tuone kama wataendelea kueneza propaganda zao au watafunga radio yao na kuanza kupiga mziki kama zamani.
Take care kijana you still very young kuanza kuongea kama akina sijui mchemba wale tayari wana masters na mauzoefu kibao wakienda nchi yoyote wanapata kazi tu hata kama za propaganda.
Una maana CCM ikondoka madarakani uhuru wa habari hauto kuwepo?au kutakuwa na vyomba vya habari vya fia chama chama kitakacho tawala mwako huo?
choko huyo alafu nae nasikia wadudu wmeanza kumla kama kibonde
kazi yao ni kuandaa barthday party kwa baba mwanaisha unategemea nn hapo washenz wakubwa hao