Gerald Hando ana uelewa mdogo wa kuhusu posho

msamehen...et niliskia hando pia ni wale wale marafiki wa chuma,kinyaiya na yule wa air tel...sjui vodacom....hah hah!!
watoto wa mbez ao et ..ahh wambea jaman..mi stak kuamni km ni kweli...et yey ...et ni nanihii km jaji sjui mwanasheria mkuu wa kenya sjui ug...ahh mi stak bana...

Una jaribu ku-insinuate mambo ambayo hayana hata chembe ya ukweli. WEWE NDIYO MBEYA. PASHKUNA MKUBWA WEWE!!
 
nilikuwa kwenye basi na dereva akawa ameweka redio ya wafu!.nikawa sina jinsi.
 
Daah! kama hali ni hii basi ni wazi kabisa pana tatizo hapa!! Clouds ebu jitazameni tena wapi mnakosea na jaribuni kurekebisa kwa sababu wahenga walisema "ivumayo karibu kupasuka" kwa maana hiyo basi fundo moja la ziada mmeumbuka!! Ufisadi noma!!
 
Una jaribu ku-insinuate mambo ambayo hayana hata chembe ya ukweli. WEWE NDIYO MBEYA. PASHKUNA MKUBWA WEWE!!
naona kada wa clouds upo apa kufuta mavumbi...its too late mr vampaya cz the light is spread in 10000000 per sec...pole..
ishakuwa ivo..n its nt ma fot ..so u just bear t...infact swallow t cz i knw u dnt lyk t bt ths the way.....POOLEEEEEEE!!!!!!1


Lakin napenda kweli kuwasililiza akina dida na nan sjui yule wa jumamos asubui anaongea sense tena za kimataifa bt the most of u 80parcent mpo ovyoooooooooo..ukweli ndo uo

siasa na ujuaji pasipo kujua unawaumiza....

pole kada m here wth u twende kaz..!!!!!!
 
Back
Top Bottom