Gerald Hando ana uelewa mdogo wa kuhusu posho

Hivi hapa tunajadili nini?

- Posho za Wabunge aka sitting allowance?
- Clouds FM Radio Station?
- Watangazaji wa Clouds FM?

Au chuki binafsi? Au Unemployment ? Au kukosekana OC katika mawizara ya serikali?

o o o
 
Tusiwe myopic!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimemsikiliza kwa makini asubuhi ya leo namaswali aliyouliza yote yana msingi kwa mtizamo wangu.Alikuwa anatumia zaidi jina la Zitto na baadhi ya maswali ni kuwa,"leo ndio Zitto kaona posho hazistahili?","Zitto una ukwasi gani mpaka uache kupokea posho?"
Binafsi naamini kuwa huu ni mtego wa kisiasa kwa CCM na ndo maana wamekuja mbogo.Zitto na wengine wanazihitaji posho mno ila wamewatega CCM na kwa hili kila dalili inaonyesha kuwa litatumika kuishtaki serikali ya CCM kwa wananchi.
Kwa jinsi spika alivyolipuka na wengine inaeelekea ndoana imenasa na sasa ni kukaza kamba.
Hando aliliweka katika maswali ya uchokozi kwa maksudi.
Hando nimemsikiliza mara kadha katika jicho la ng'ombe na hoja zake kwangu ni za msingi kuliko za Kibonde.Karibuni aliongelea kuhusu mishahara hewa,wasanii wanaowekwa picha zao kwenye CD za ngono lakini hawalalamiki,je wanafaidika na biashara hiyo,ni kweli ni wao waliocheza picha hizo?
 
Jamaa alinichefua sana leo asubuhi..alikuwa hana logic,.thats why sikilizagi clouds fm..simple minded presenters..labda wamerogwa.
 
ukitaka kujua kampuni ipoje na watu wake elimu zao zipoje angalia rate ya wafanyakazi ambao wanaacha kazi (au wameacha kazi) wanasemaje.........hando kama yupo nyumbani lkn siku zikiisha hapo atakuwa wa kwanza kutukana ELIMU NDOGO OFISI INAKUWA YA KUGANGA NJAAAA TU MAJUNGU SANA ILI U-SURVIVE
 
ukitaka kujua kampuni ipoje na watu wake elimu zao zipoje angalia rate ya wafanyakazi ambao wanaacha kazi (au wameacha kazi) wanasemaje.........hando kama yupo nyumbani lkn siku zikiisha hapo atakuwa wa kwanza kutukana ELIMU NDOGO OFISI INAKUWA YA KUGANGA NJAAAA TU MAJUNGU SANA ILI U-SURVIVE

........... hivi mnajuaje leo Gerald kasema vile, mara kuna utumbo huu ! wakati mmegoma kusikiliza pumba ! au kakunyanganya Girl friend wako ....... maana nasikia mshikaji hajaoa !
 
msamehen...et niliskia hando pia ni wale wale marafiki wa chuma,kinyaiya na yule wa air tel...sjui vodacom....hah hah!!
watoto wa mbez ao et ..ahh wambea jaman..mi stak kuamni km ni kweli...et yey ...et ni nanihii km jaji sjui mwanasheria mkuu wa kenya sjui ug...ahh mi stak bana...
............. haya sasa ni majotrooooooooooooooooooooo !
 
washamba ndio wanaisikiza hii redio ya kipuuzi. Waste no time following them ###ers!!!
 
Kama mtu uko serious kusikiliza mada zikijadiliwa kwanini usikilize clouds? Hiyo si ni radio ya udaku? Hawana lolote ndo maana hawathubuti kuruhusu wasikilizaji kupiga simu na kuchangia.

By the way, watangazaji wa humo ni vilaza wala shule hawana, unategemea wajadili nini cha maana?
........... hivi mliwahi kuchungulia cv zao ! jamaa wakali kwa ubunifu yaaani we acha tu ! Sugu analia mpaka Leo ! we hudhuria matamasha yao ya Fiesta uone wanvyotengeza pesa ! pale kuna vichwa, labda nyie mmekalia makaratasi !
 
Siwaasikilizi siku hizi, taarifa za kiintelejensia zina onyesa clouds kwa asilimia 99 wamenunuliwa magamba kwa sasa
 
Watangazaji wa bongo ni matope tu kichwani... Kuthibitisha hilo angalia walioenda BBA, mmoja kaliwa uroda hadharani mwingine kapigana hadharani. Just kuonyesha aina ya watangazaji tulionao. Hao akina Hando ni watu wa kujikombakomba tu, wanajua Riz1 atawarushia vocha baada ya kikao. Ndio maana wanalipwa kidogo ili fedha ya ziada watafute kwa njia zisizo halali, kama hiyo ya kushabikia hata wizi. mi nahisi kuna wanaoMEGWA mle clouds
 
........... hivi mliwahi kuchungulia cv zao ! jamaa wakali kwa ubunifu yaaani we acha tu ! Sugu analia mpaka Leo ! we hudhuria matamasha yao ya Fiesta uone wanvyotengeza pesa ! pale kuna vichwa, labda nyie mmekalia makaratasi !
Fiesta hela wanakula Ruge na Kusaga, hao vidampa wanaambulia viposho vya safari na per diems za mikoani tu pamoja na kulala bure kwenye hotel kali. Hivi unafikiri mwajiri wako akitengeneza faida kubwa inakuwa yako na wewe na familia yako?? Fungua akili yako hata kidogo usionekane kilaza kama wao. Profit is for shareholder not employee fellla.
 
Back
Top Bottom