sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 644
Umeongea Point :Naomba tafsiri kwenye red plzjamani mi nafikiri boss wa clouds ndio wana matatizo ..maana ukija kunngalia wengi shida yao ni elimu ndogo kwa wanachokifanya na pengine sababu mwanaume nashindwa kuongea..ila si shida yake shida za kampuni kuajiri cheap lbr zinawacost wanaogopa wenye shule zao wanaoosoma nyakati awawezi ongea upuuzi wa clouds nasema hivi nimeshona thread za CLOUDS karibu watangazaji wa kila kipindi sasa naona amebaki RUGE na Joseph Hawa tukiwaongelea nahisi tutairekebisha na clouds na kuwa Babu kubwa Tanzania ni redio nzuri ila wamejaa mafimindi watupu