George W Bushi nae Akamatwe

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu,mi nina wazo kwa nini George Bushi nae asikamatwe?Mnakumbuka aliwapiga Wairaq kwa kigezo cha silaha halafu silaha hazikuonekana na raiya wengi walipoteza maisha.Apelekwe kwenye mahakama ya kimataifa kama waafrika wanvyopelekwa
 
Says who?
If wish were the horses.........................................
 
Nakubaliana na wewe na Tony wa uk pia.ila nikitu kisichowezekana.
Mimi naona tuombe wenye imani yao waombe albadili kama kweli ipo.
Hiyo itakuwa njia mbadala na nyepesi kuliko zote.
 
Wakuu,mi nina wazo kwa nini George Bushi nae asikamatwe?Mnakumbuka aliwapiga Wairaq kwa kigezo cha silaha halafu silaha hazikuonekana na raiya wengi walipoteza maisha.Apelekwe kwenye mahakama ya kimataifa kama waafrika wanvyopelekwa

Sasa ni nani atamkamata huyo Bush? Labda ungetuambia ni nani wa kumkamata. Halafu hiyo mahakama ya ICC, USA hawaitambui hivyo raia wake hawawezi kushitakiwa huko. Kazi kwenu nyie mnaoitambua hiyo mahakama uchwara!
 
Bush hana hatia mbele za wamarekan,so hawez fanywa chochote.nyie wengne mtabaki kupga kelele tu.
 
Wakuu,mi nina wazo kwa nini George Bushi nae asikamatwe?Mnakumbuka aliwapiga Wairaq kwa kigezo cha silaha halafu silaha hazikuonekana na raiya wengi walipoteza maisha.Apelekwe kwenye mahakama ya kimataifa kama waafrika wanvyopelekwa

Wazo lako ni zuri....lakini ile mahakama, ICC ni kwa ajili ya watu na viongozi wa nchi zinazokataa kuburuzwa na US na West... mahakama ni kwa ajili ya Chavez, castro, Ahmedinajad, Gaddafi, na kila anayepinga majambazi kukomba mashamba ya bibi.
 
Kweli kabisa hii mahaka ni kwa waafrika na sio wao wanaoona kila wanachofanya wako sahihi
 
Back
Top Bottom