George masatu

Wakuu msaidieni mwenzenu basi!!

Naona dogo anatafuta historia ya George Magere Masatu! Ila kusema kweli JF watu mmepinda siyo kawaida! Maana hayo majibu mtu unaweza kuvunjika mbavu jinsi yanavyotiririka!!
 
Unamzungumzia yule jamaa alielambwa chenga na bolizozo wa stella abdjan na kushuhudia mwameja akiokota mpira nyavuni twice? Ikasemekana yeye na mwameja waliuza mechi..! Da! Mambo haya yaneanza longi......!
 
Enzi hizo

Afu ana ka yake alikuwa anaitwa Zamoyoni Mogela

Wote wamechina Kwins renjaz

Unamzungumzia yule jamaa alielambwa chenga na bolizozo wa stella abdjan na kushuhudia mwameja akiokota mpira nyavuni twice? Ikasemekana yeye na mwameja waliuza mechi..! Da! Mambo haya yaneanza longi......!
 
unataka kuamka millionea wa airtel!?kachezea Lipuli ya Iringa!Kazi kwako sasa.

Wacha kumdanganya mwenzio bana,
George Magere Masatu, Alichezea LIDICO ya Lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia Pan African ambako alimalizia Soka lake pale.

Kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa Mpya wa SIMIYU
 
du hayo majibu mtu waweza ukafa kiholo mwisho wayote inakuwaje??? duuuuuu.uuuuu
 
Ni moja ya washambuliaji ambao hawajapata kutokea Tanzania.

Mpaka LIDICO inashuka daraja yeye alikua akiongoza kwa Magoli.
 
wacha kumdanganya mwenzio bana,
george magere masatu, alichezea lidico ya lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia pan african ambako alimalizia soka lake pale.

Kwa sasa ni mkuu wa mkoa mpya wa simiyu
wewe nahisi utakuwa shafih dauda ! Maana unajua vitu mpaka unakera

Nilicheza nae huyu jamaa,
Ndio mchezaji pekee aliekua anaweza kupiga na kufunga Penalty kwa Kichwa!!
Hata mimi nilimshuhudia pale ilala stadium(siku hizi wanaita karume memorial TFF HQ)
alipiga kona moja ya kichwa akingiza mwenyewe nakuwa goli la kusawazisha walikuwa wanacheza na cosmopolitan kama sio nyota nyekundu
haya mambo watoto wa siku hizi hawahajui
 
Nakumbuka ile siku mkuu, lile goli lilikua tamu sana aisee.

Watoto wa siku hizi hawakuwepo enzi hizo
 
Back
Top Bottom