Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Alichezea timu gani miaka ya 1990
wewe umekurupuka kutoka usingizini nini?
umesahau mwaka jana wakati wa dirisha dogo alienda fc barcelonatukuyu stars ya mbeya halafu akahamia pan african kabla hajachezea azam fc ambapo baadae aliuzwa ashanti
Unamzungumzia yule jamaa alielambwa chenga na bolizozo wa stella abdjan na kushuhudia mwameja akiokota mpira nyavuni twice? Ikasemekana yeye na mwameja waliuza mechi..! Da! Mambo haya yaneanza longi......!
unataka kuamka millionea wa airtel!?kachezea Lipuli ya Iringa!Kazi kwako sasa.
Wacha kumdanganya mwenzio bana,
George Magere Masatu, Alichezea LIDICO ya Lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia Pan African ambako alimalizia Soka lake pale.
Kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa Mpya wa SIMIYU
wewe nahisi utakuwa shafih dauda ! Maana unajua vitu mpaka unakerawacha kumdanganya mwenzio bana,
george magere masatu, alichezea lidico ya lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia pan african ambako alimalizia soka lake pale.
Kwa sasa ni mkuu wa mkoa mpya wa simiyu
Nilicheza nae huyu jamaa,wewe nahisi utakuwa shafih dauda ! Maana unajua vitu mpaka unakera
Hata mimi nilimshuhudia pale ilala stadium(siku hizi wanaita karume memorial TFF HQ)Nilicheza nae huyu jamaa,
Ndio mchezaji pekee aliekua anaweza kupiga na kufunga Penalty kwa Kichwa!!
Nakumbuka ile siku mkuu, lile goli lilikua tamu sana aisee.Hata mimi nilimshuhudia pale ilala stadium(siku hizi wanaita karume memorial TFF HQ)
alipiga kona moja ya kichwa akingiza mwenyewe nakuwa goli la kusawazisha walikuwa wanacheza na cosmopolitan kama sio nyota nyekundu
haya mambo watoto wa siku hizi hawahajui
wewe umekurupuka kutoka usingizini nini?
tukuyu stars ya mbeya halafu akahamia pan african kabla hajachezea azam fc ambapo baadae aliuzwa ashanti