GEORGE MARATO na swagga zake za ki MURANGIRA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,344
Hivi waandishi ndio wanatakiwa kuwa na masimu yote hayo?
Au jamaa ana kazi nyingine ya kumuongezea kipato kwa kutibu simu za kichina?


380958_212544775548024_1454123270_n.jpg
 
kumbe ndo huyu joji maratu? mbona sura yake haifananii na swagaa za itttttttttttvvvvvvvvvvvvv
 
Pia huyo ndio mbeba hotuba na makaratasi ya mbunge wa Musoma Vijijini ,Nimrodi Mkono
 
iiiiiiiiiiiiiiiiitviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.huwa inanifurahisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
utangazaji wake unanichekesha ninapokuwa nimenuna na kunikera ninapokuwa nimefurahi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom