George Kichaka aleta shida ya mawasiliano

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Baada ya kuthibisha ujaji wa George Kichaka tangia majuzi mawasiliano yameanza kuharibika. Hakuna mawasiliano ya uhakika kwenye simu zetu kama alivyo tabiri mwandishi mmoja wa kike . George Kichaka hadi atakapo ingia Tanzania sijui tutakuwa tuna hali gani .Nawapa taarifa tu na nyie mjaribu mambo huko kuona kama kuna ukweli wa jambo hili ama ni mimi pekee .
 
Masatu nimesema yaliyo nitokea mimi .Nauliza wenzangu nyie mbona unakuwa mbishi tuuuuuu kama Kibaki ama CCM yenu ?
 
Masatu nimesema yaliyo nitokea mimi .Nauliza wenzangu nyie mbona unakuwa mbishi tuuuuuu kama Kibaki ama CCM yenu ?Mimi sizushi ila naongelea experience .Mawasiliano ni mabaya haya .
 
Masatu nimesema yaliyo nitokea mimi .Nauliza wenzangu nyie mbona unakuwa mbishi tuuuuuu kama Kibaki ama CCM yenu ?Mimi sizushi ila naongelea experience .Mawasiliano ni mabaya haya .
 
MWK, Yaani nimecheka ... umewapatia kweli; Mkuu Masatu mpe nafasi Lunyungu apumue kidogo. Bado naendelea na kicheko ..
 
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Inabidi sometimes mfanye analysis, tatizo la Celtel na Vodacom ni kuwa mitandao yao ni midogo na watu ni wengi sana. Tigo hawana matatizo hayo!

Na wala sio tatizo la Kichaka.
 
Mwafrika Jike
Mimi natoka Iringa tafadhali siwezi kuwa mtu wa Musoma mie.Yaani nitoke mkoa mmoja na Masatu no.Wajita ama Wakya wana asili ya unafiki . Muone Wasira dizaini utajua nasema nini .Hata Msatu ni unafiki tu wa kukaa mambo hapa yeye kila kitu anakiona kifaacho ni njano na kijani zile rangi za Hamas
 
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Inabidi sometimes mfanye analysis, tatizo la Celtel na Vodacom ni kuwa mitandao yao ni midogo na watu ni wengi sana. Tigo hawana matatizo hayo!

Na wala sio tatizo la Kichaka.

There you are man!
Nilishalalamikia sana suala la Vodacom kule kwenye ICT, kwamba mtandao wao uko overloaded sana kiasi kwamba kupiga simu kutoka nje ya nchi mara nyingi inakuwa shida sana. Kadhia hii ingekuwa imenitokea mara moja wala nisingepiga kelele, lakini inanitokea kila leo, ndio maana nalalama.
Sidhani kwamba shida ni Kichaka na ujumbe wake. Tumsafishe kwa hili.
 
Mimi niliuliza swali wala sikutoa statement na nilitegemea watu waje na maoni ya aina yako .Unapata shida kama ninavyo pata mimi toka hapa .
 
Mwafrika Jike
Mimi natoka Iringa tafadhali siwezi kuwa mtu wa Musoma mie.Yaani nitoke mkoa mmoja na Masatu no.Wajita ama Wakya wana asili ya unafiki . Muone Wasira dizaini utajua nasema nini .Hata Msatu ni unafiki tu wa kukaa mambo hapa yeye kila kitu anakiona kifaacho ni njano na kijani zile rangi za Hamas

Kwi kwi kwi kwi...

Lunyungu,

that was a joke, nilitumia (lol) at the end of sentensi yangu. Mimi sijui wewe wala masatu mnatoka wapi ila tu nimeshangazwa na namna masatu anavyokushikia bango katika vitu vingi unavyoweka hapa (mara nyingi bila sababu maalumu kwa maoni yangu) basi nikaamua kuutafutia sababu huu ugomvi.

Piga kazi ndugu yangu. Ulichosema kuhusu mawasiliano kabla ya safari ya kichaka bongo ni kweli. Siku zinavyokaribia jamaa watarekodi, kusimamia mawasiliano na kufanya kila kitu kumlinda kiongozi wao.

Ndio maana nilishauri watu kuwa hili ni treni liendalo kasi kwa hiyo watu watulie tu na waliache lipite.
 
Mimi niliuliza swali wala sikutoa statement na nilitegemea watu waje na maoni ya aina yako .Unapata shida kama ninavyo pata mimi toka hapa .

Ndio hivyo Mkuu, tuko katika kadhia moja ya ukosefu wa mawasiliano ya kuaminika. Nadhani kuna shida katika networks za hawa jamaa, na wanapaswa kuyashughulikia matatizo haya ili tuwe na imani nao. Vininevyo tutawakimbilia Zantel
 
Asante sana mwacheni mtu wa mwaloni Masatu asizid kupiga kasia kuelekea majita .
 
Mwafrika Jike
Mimi natoka Iringa tafadhali siwezi kuwa mtu wa Musoma mie.Yaani nitoke mkoa mmoja na Masatu no.Wajita ama Wakya wana asili ya unafiki . Muone Wasira dizaini utajua nasema nini .Hata Msatu ni unafiki tu wa kukaa mambo hapa yeye kila kitu anakiona kifaacho ni njano na kijani zile rangi za Hamas

Lunyungu,

With due respect pls mkuu nitukane mimi utakavyo sitojali lakini kujumuisha kabila/makabila mazima na kutuita wanafiki its really low.
I take it as a slip of keyboard tu mzee kuwa muangalifu usije ukawatukana wengine pasi na sababu ni ktk kukumbushana tu....

Mjadala uendelee
 
kwa kifupi Kichaka kila akienda sehemu kutembea, United States Secret Service wanatumia magari au helicopter maalumu kuzima mawasiliano ya simu hili la kusema wameshaanza kufanya hayo mambo sasa hivi sidhani unless PSU na USSS wanafanya majaribio. Nitalatea details baadate
 
kwa kifupi Kichaka kila akienda sehemu kutembea, United States Secret Service wanatumia magari au helicopter maalumu kuzima mawasiliano ya simu hili la kusema wameshaanza kufanya hayo mambo sasa hivi sidhani unless PSU na USSS wanafanya majaribio.

That's right.
Hata Tanzania ilitokea kitu cha namna hiyo alipokuja Clinton kule Arusha. Wataalam wali-scramble mitambo ya simu na televisheni,kulikuwa hakuna mawasiliano.
 
kama hayo magari yameshatinga Tanzania basi yatakuwa yanapita kwenye route atakazopita wakifanya majaribio.

Anyways unaangalia kitu kama hiki hapa chini
301450764.jpg


Na ukitaka kujua kazi zake zaidi angalia hii video

The vehicle is called a "barrage jammer." It is used by the State Department and Secret Service. State has ordered several hundred of them. The Secret Service has about a dozen. The vehicles are used to counter electronic-guided attacks, airborne or ground -- missiles, communication jamming and/or interception, or remotely-controlled explosive devices. Convoys are led and followed by the vehicles, in the lead to draw fire or in the rear to track signals of devices which may have malfunctioned. They are used in presidential motorcades and have been deployed to Iraq and the Republican National Convention.

Others report these sources on Tigerwall:

Tigerwall System. Tigerwall is an air surveillance system currently used by the U.S. Secret Service to ensure enhanced physical security at a high-value asset location by providing early warning of airborne threats. SSC San Diego has assisted the Secret Service in implementing and maintaining the Tigerwall system by providing expertise gained from other SSC San Diego surveillance and physical security programs. See:


The system uses cameras and radiofrequency equipment to identify planes and other objects in the sky, and provides a real-time tactical map of their locations and trajectories. The system was designed by SPAWAR, the Navy's space warfare division, for the Secret Service. I imagine that the system is not purely for surveillance; the information provided by the "tiger" could create a virtual "wall." Tigerwall could be used to shoot down airborne hostiles, like a mini anti-ballistic-missile system around "high value assets." Also see:

I count a total of 8 antennas (I must point out here that the comm van has 11 antennas!) not including the entertainment radio antenna. But hell, that's probably the real antenna with all the rest being decoys!

No, but seriously, from the front of the vehicle to the rear I say:

No. 1 & 4 - High band VHF/UHF receiving antenna.

No. 2 & 5 - Broad band, high power transmit and receive antenna for high band VHF, UHF and possible beyond (but note the counterpoise).

No. 3 & 7 - Satcom antenna radome, possibly INMARSAT Mini-M.

No. 6 & 8 - Broad band, high power transmit and receive antenna for low band VHF. Seems too small for serious HF capability.

The Chevy Suburban bristling with antennae are manufactured for the government.They either overhear cell phone transmissions, or perhaps simply to jam them.

* An innovative training system capable of providing both real-time and virtual local communications jamming of all existing US Army radio systems

* An active tactical communications jammer capable of deterring hostile threats

* An airborne communications hardware suite used for extensive test by the US Army

* Airborne jamming hardware utilized by the BIG CROW during test and evaluation exercises

The antenna configuration changed at least daily, from fully-loaded to 'sterile.' The picture on your site depicts an 'average' configuration. The bulges at the bases of the larger antennas are heat sinks
 
Back
Top Bottom