George Bush with teleprompter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

George Bush with teleprompter

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Binti Maringo, Apr 8, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ok ng'waninyami.....umemkazania Obama na matumizi ya teleprompter what about your buddy george bush kwenye this clip?....Hapa ndiyo inaonekana bila teleprompter bush hawezi kutoa speech lazima atachapia...obama juuu!

  Inaelekea teleprompter iligoma hapa hahaha kazi kweli kweli


  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=bvI_z-VS-5w"]YouTube - George Bush[/ame]

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=8EvNJWM_NDg"]YouTube - George Bush Speech Mistakes[/ame]
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ehee!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bush is expected kuchemsha! So no surprise there. But on the other hand, O'Bummer is supposed to be the greatest orator of our time. People faint when they hear him speak...some get tingly feelings up their leg when he speaks. He is so smart. Some have even compared his oratorical skills to those of Lincoln or Martin Luther King Jr.

  Neither Lincoln nor MLK used teleprompters...but O'Bummer is a different story. Take the teleprompter away from him and all you get is gaffes, gaffes, and more gaffes. Case in point, the 'special olympics' comment on Jay Leno....
   
 4. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Weeee! Lincoln na MLK walipokuwa hai kulikuwa na teleprompter? Mbona unachekesha sana! Teleprompter is the modern way of keeping notes and reading a speech! Acha ushamba!
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  So what? Hawakuhitaji teleprompter kuwasilisha walichokuwa wanataka kuongea and they were great at it. Unabisha?

  Anayechekesha ni O'Bummer. Matter of fact, anashangaza. Mi teleprompter 12 kwenye ziara yake ya Ulaya ya nini? Niambie lini Bill Clinton au Fighter Hillary Clinton walifanya ziara na kubeba mi teleprompter 12.

  So depend on it 100% of the time?
   
 6. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #6
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kelly,
  Ngoja nikupe sasa kutoka Poland. Huyo ni jamaa aliyekuwa Spiker wa bunge la hapa Pl akiwa na sister Rihanna katika wimbo. Remix made in Poland. Jamani kama uko kazini angalia usivunje mbavu maana mie huwa nacheka sana nikiziona.

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=A0sgHdXw7as&feature=related]YouTube - Rihanna feat marszałek sejmu L. dorn[/ame]

  Na hii nakupeni kama BONUS. Hao jamaa wawili wanaoruka nimtu na mdogo wake (Mapacha). Mmoja ni Rais hadi sasa hivi naongea na mwingine alikuwa Waziri mkuu miaka miwili iyopita na hivyo kuifanya nchi moja kuwa na Mapacha wawili, mmoja ni Rais na mwingine ni PM. Huyo mama alikuwa Waziri wa mambo ya nchi za nje akijitahidi kutema Kiingereza. Kidogo kinakubusha zile za afande wa JKT.

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=yzevoYYglPI&feature=related]YouTube - The Brothers feat. Anna Fotyga - Hardcore Negotiators[/ame]
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ng'wami....inabidi ukubali tuu kuwa hata bush alikuwa anachemka.... obama yeye hata kama hiyo teleprompter ikigoma bado anasimama imara unlike bush yeye ana end up kutoa jokes ambazo nazo pia anachemsha hahahahaha...hebu ona hapo clip ya kwamba alivyokuwa ana stumble na I!.....Mpaka anazira mwenyewe...Uziru wa obama kile kigugumizi kinamsaidia sana.

  And my point is usimuandame sana Obama na teleprompter hahahaha!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  When you take away the prompter from O'Bummer.....

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=MyW9e5QdWxk]YouTube - The Obama Stutter[/ame]

  The greatest orator of our time.....who can barely get his thoughts together....

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=RWy2XzDrz30]YouTube - Lost Obama[/ame]
   
 9. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #9
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  This boys can bit all of them.

  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=_OBlgSz8sSM]YouTube - Charlie bit my finger - again ![/ame]
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yaani hujakubalia mpaka ukaona uka-diggy mapungufu ya Obama duuh@....

  all in all aisee nobody can beat Martin Luther King...huyu sasa ndiyo speech yake ukisikiliza unapatwa an goose bump unlike Bush.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Uuuuhh..ooohhh..uuuummmm...aaaaahhhhh....O'Bummer
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapa ni kama vile uweke taifa stars wacheze na Manchester united hahahaha itakuwa bonge la show....do you think unaweza kunaniliu eeh kumuweka Rush Limburgh kwenye same plate na obama?.....Ng'wani please wee kubali yaishe kuwa msitu alikuwa anachemka sana...yaani hata jokes jamani zinamshinda what the heck!....kinachonishangaza ni kwamba amenaniliu nchi for 8 years no wonder dunia nzima tupo kwenye hari mbaya sana ya maisha
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  O'Bowma wako haingizi mguu kwa Rush....
   
 14. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unacheza hahahahaha!obama na rush?...really? hebu weka vigezo vyako.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Vigezo vya nini wakati Rush keshatoa challenge ya kudebate? The ball is now in Obowma's court...
   
 16. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  It was not Rusha bwana was it not sean hannity? lakini yeye alimualika kwenda kunywa naniliu beer na obama aka accept the invitation....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Apr 8, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sasa unaanza kuongea vitu hata usivyovijua.
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo hata kama najua utasema sijui kutokana na kwamba wewe ni shabiki wa rush Limburgh.....Miye sioni point yeyote anayoongeaga yeye Rush zaidi ya kulalamika tuu na kumshutumu Obama for nothing.

  Ok naweza kumpa kudo's rush kama wakati ule alivyohojiwa na Hannity alikuwa na certain point lakini come to think about this right sidhani kama ukimuweka bega kwa bega na Obama ataweza kushindana naye kwa sababu Rush anategemea sana kusoma material (ku-kremisha) zake so itamuiwia vigumu kidogo....wakati Obama ni kichwa.
   
Loading...