GEORGE BUSH in TANZANIA (pictures only thread)

3 WORDS:
Untitled-1-3.jpg

I will admit mzee yaani hiyo picha nilipoiona tu moyo umenienda PAAAA!!

I will confes huyu condi just turns me on sijiwezi kabisaa kwa huyu mama kwanza her intelligence is second to none, pili look at heow she keeps herself smart...by the way kama mnavyojua mkewe Bush hampendi kwani huyu kwa magauni ya VALENTINO na viatu vya JIMMY CHOO she is just impeccable in everyway

She the type you wanna introduce to your parents, the type that you wanna have a conversation with be it about Structure and process in International Relations to TCHAIKOVSKY ...did someone say she is an accomplished Pianist, hivyo nina uhakika kuwa she might wake you up with Tchaikovsky number 5 and take to BACH..na you can alsways talk about Motherland as well kwani ni acomplished diplomat be it about AFCOM or AGOA damn! Everytime she speaks my heart melts...I might like her choice of boss she works with but i am in full support of her neo-realist view of the world

Ukisikia wenda wazim ndio huu...yaani lazima mtu ahonge?

How about settling for less?
 
Ukisikia wenda wazim ndio huu...yaani lazima mtu ahonge?

Na chaajabu ni kuwa Huyo anayehongwa keshatangaza sera:'We don't give our tax payers Money to people who steal money...'

**There is a possibility of Sen.McCain having Condoleza Rice as his Vice If Declared the republican candidate to stand for the White house race.
 
Hauxtable,
[There is a possibility of Sen.McCain having Condoleza Rice as his Vice If Declared the republican candidate to stand for the White house race/QUOTE]

Duh! mbona itakuwa balaa kwa Democratics maanake kama minority basi wao pia wanaye mtu..... Ushindi mkubwa sana. Damn, inauma sana pamoja na kwamba ndio reality.
 
Tz Pride,
Ukiwa huna habari mkuu kaa kimya usianzishe vioja vyako. Yaani muda wote siku hizi unaongea pumba kishenzi....nitakuondoa Ujinga....
Haya tazama mavituzzz! - http://allafrica.com/stories/200707090488.html

Mheshimiwa kwa hilo hujaniondolea ujinga bali unataka kuniongezea!

"8 July 2007
Posted to the web 9 July 2007

Ernest Mpinganjira
Nairobi

Last week, Tanzania announced that it had hit commercially viable oil deposits along its coast. This comes just over one year after Uganda struck its own black gold in the west.
"

Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania. Uganda kweli kampuni ya Tullow oils iligundua mafuta kwenye ziwa Albert basin na resrves zimekuwa zikisemekana zinaogezeka. Uwe makini na waandishi wa habari; wengi wanaandika habari ambazo hawana uhakika nazo. Kilichotokea hapo ni kampuni ya Artumas (Canadian) kule Mnazi bay Mtwara katika uchimbaji wa Natural Gas mmoja ya kisima chao kilitoa some barrels of heavy whitish liquid, 28 degrees API ambayo inaonekana kama crude oil japo rangi ndio haikuendana. Hii ilikuwa indication nzuri kwa kampuni hiyo kuwa na uwezekano ku-strike oil reservoir.
Facts za industry hii hapa bongo ni kwamba so far kuna Natural Gas fields tatu ambazo zimegunduliwa; Songosongo(70's), Mnazi bay(80's and recently major development) na Mkuranga(2006). Hakuna sehemu ambapo mafuta(crude oil) yamegunduliwa kwa sasa. Elewa oil deposits haziwezi kuwa declared by any surface inferences ila kwa subsurfaces contacts; lazima kisima cha utafiti kichimbwe to the away down the target and flow out the subsurface contents. After testing and using industrially accepted methods of estimating reserves then you can declare what you have; else porojo.
Ulitaja kabisa specific area ya discovery hiyo, ghuba za Zanzibar! Not at all. Previous explorations data show that there is a high possiblity of hydrocarbons(oil+Natural gas or one of them) deposits around Pemba island. Utafiti zaidi unakwamishwa na mgogoro wa mafuta yawe ya muungano au laa. Kampuni ya Shell inangoja serikali iweke mambo sawa ili waaanze utafiti. Sasa iweje tayari mafuta yawe yameshagunduliwa?. Mkuu Wazenj wengi nimewasikia wakisema wanayo mafuta Zanzibar, siwashangai kwani si kila mtu habari hizi anaweza zielewa kwa ufasaha. Take that from my professional point of view. Kama uko ughaibuni na uko interested na hizi habari basi uwe unachungulia hapa kwa updates www.tpdc.go.tz
 
Mheshimwa Mkandara,

Hizo habari zote ni za licensing, exploration and gas fields development. Hakuna hata habari ambayo wanakuambia kuna mafuta(crude oil) yamegunduliwa. Kweli sasa kuna makampuni mengi sana yanachukua blocks za kufanya explorations, lets hope they may strike something(oil). But bad news, last month Aminex did hit the dry hole at the block close to Songosongo gas field, Kilwani #1 well.
Hakuna mafuta bongo so far mkuu...Tha's the fact...believe me.
 
Tz Pride,
Kwanza kabisa sikupenda kuendelea na ubishi kwa sababu kuna kiwingu kati yetu na ndio maana nimefuta baadhi ya maelezo nilitanguliza. hakuna haja ya jazba hata kidogo kwani hatushindani, kisha wewe una imani yako na mimi nabaki na yangu, hayo yaliyokukuta ndio mitihani ya dunia, sii hukumu ya Mkandara
Nitakwambia hivi na wapo mashahidi humu bila shaka.
Waziri mstaafu Karamagi alipotembelea hapa alituhakikishia kuwa deposits za mafuta zimegunduliwa na !..
Binafsi nilipata wasaa wa kuongea naye pamoja na Maghembe nje (Hotel Royal York) tukitoka na kutoa ushauri kusimamisha mipango ya mikataba kama walivyofanya wenzetu Uganda hadi pale itakapo kuwa tayari na wasomi waliobobea ktk maswala la mikataba na hasa ktk mafuta. Unajua kuwa Uganda walisimamisha au sio?
Maghembe ni shahidi wangu, he remember me!
Sasa kama wewe hutaki mimi nifanye nini?.. hiyo TPDC wanaoomba asilimia 10% ni kiungo tu ambacho kitakutangazia wewe baada ya mikataba toka kwa explorers kwenda kwa wachimbaji..
Kifupi, ni hii imani ya kukubali kila tunachoambiwa bila sisi wenyewe kufanya utafiti (homework) kama tulivyokuwa tumefungiwa kanyaboya la Richmond tukaamini....Mikataba kama ya Buzwagi ilikuwa siri kama sio Zitto ungeweza kuiona wapi kama sio baada ya Barricks kuanza uchimbaji!..
Tuwe makini sana na mali zetu ni bora kuamini yapo na kutafuta kipi kinaendelea kuliko kutoamini na kuja kuta umefungiwa kinyesi..
Nimemaliza mkuu...
 
Wakuu tumewasikia, tulichofanya ni kuuliza tu kwa sababu tulimuona Kaduma, akigoma na magarihayakushuka, ina maana sasa tumekubali kuwa hatuna ubavu tena wa kusimamia uzalendo wetu kama kina Kaduma,

Sasa nimeelewa kuwa as a nation tumeishiwa kabisaa kaputi! Wanaweza kuja na kufanya wanayotaka, lakini zamani enzi za Mwalimu, haikuwa hivi, that is my point! Sikatai kwamba Bush huenmda na hiyo migari kila mahali, ninachosema ni kuwa enzi za Mwalimu, yasingeshuka hayo, Bush angepanda gari letu kama Kissinger alivyolazimishwa na Kaduma, akaishia kupanda gari letu.

Mkuu FM, jamani uzembe wa nchi zetu na kuchukulia mambo juu juu si unaujua? gari ya kibongo hata ikipigwa jiwe linaingia ndani sasa mzee kichaka awe amepanda gari yetu halafu ipate pancha si itakuwa soo? wacha apande hiyo yake imara, Maana akipanda yetu ikapata ajali je hiyo responsibility tutaweza kuibeba? nchi yetu jamani uzembe mwingi.

Waache tu watese, si tusubiri zamu yetu, halafu sisi masikini bado tunataka kuleta jeuri, je tutaweza?kichaka hata akishuka Ulaya wanagwaya itakuwa sisi? kweli ungetaka JK amletee jeuri kichaka wakati amekuja na cheki ya milioni mia saba? basi angemuambia pia hatutaki hizo dola zenu tunazo TZ shillings zetu basi ingekuwa jeuri tosha, lakini wangeumia wale wanotarajia kujengewa barabara na fwedha hizo kutoka majuu, wangeumia wale wagonjwa ukimwi nakadhalika.
 
IMG]http://pic20.picturetrail.com/VOL166/10086944/19063437/304702603.jpg[/IMG]
304702922.jpg

304702605.jpg

304702600.jpg

304702590.jpg

304702579.jpg

Naona anapata goodtime, hapo alipokaa kwenye benchi ni wapi?
Samahani wakuu, najua ni PICHA TU, lakini ningependa kufahamu zaidi.
 
Tz Pride,
Kwanza kabisa sikupenda kuendelea na ubishi kwa sababu kuna kiwingu kati yetu na ndio maana nimefuta baadhi ya maelezo nilitanguliza. hakuna haja ya jazba hata kidogo kwani hatushindani, kisha wewe una imani yako na mimi nabaki na yangu, hayo yaliyokukuta ndio mitihani ya dunia, sii hukumu ya Mkandara
Nitakwambia hivi na wapo mashahidi humu bila shaka.
Waziri mstaafu Karamagi alipotembelea hapa alituhakikishia kuwa deposits za mafuta zimegunduliwa na !..
Binafsi nilipata wasaa wa kuongea naye pamoja na Maghembe nje (Hotel Royal York) tukitoka na kutoa ushauri kusimamisha mipango ya mikataba kama walivyofanya wenzetu Uganda hadi pale itakapo kuwa tayari na wasomi waliobobea ktk maswala la mikataba na hasa ktk mafuta. Unajua kuwa Uganda walisimamisha au sio?
Maghembe ni shahidi wangu, he remember me!
Sasa kama wewe hutaki mimi nifanye nini?.. hiyo TPDC wanaoomba asilimia 10% ni kiungo tu ambacho kitakutangazia wewe baada ya mikataba toka kwa explorers kwenda kwa wachimbaji..Kifupi, ni hii imani ya kukubali kila tunachoambiwa bila sisi wenyewe kufanya utafiti (homework) kama tulivyokuwa tumefungiwa kanyaboya la Richmond tukaamini....Mikataba kama ya Buzwagi ilikuwa siri kama sio Zitto ungeweza kuiona wapi kama sio baada ya Barricks kuanza uchimbaji!..
Tuwe makini sana na mali zetu ni bora kuamini yapo na kutafuta kipi kinaendelea kuliko kutoamini na kuja kuta umefungiwa kinyesi..
Nimemaliza mkuu...

Duh! Mkuu kumbe wewe umekomalia kitu usichojua kwa kuwa tu mimi nilionyesha imani tofauti nawe. hayo ya imani niliomba radhi kwa kutoku-contain nilicho nacho nikaadhiri wengine kama mimi nilivyoathiriwa.
Unaongea uwongo mchana kweupeee! hakuna mafuta yaliyogunduliwa..si Karamagi wala Maghembe anaweza sema hilo. Mimi ni professional kwenye hayo na right now niko field at the same coasts you are refering. Ingekuwa ni siku za nyuma ningesema hauko updated na mambo ya nyumbani lakini kwa sasa umeamua tu kuongea bila kutafiti. Sema ni kampuni gani imegundua hiyo deposits ya mafuta? Na eneo gani particularly?
Halafu ushauri tu, acha dharau kwa vitu vya home mkuu, TPDC inafanya kazi nzuri sana katika hii sector ya oil and gas. Hakuna hatua inayofanywa na mwekezaji ambayo TPDC haiwezi kuijua..iko na close follow-up. Hiyo 10% unayosema sijui umetoa wapi lakini ni vizuri ukaangalia Production Sharing Agreement(PSA) model wanayotumia katika negotiation(iko kwenye web yao). hii itakupa picha ni kiasi gani tunafaidika na hydrocarbons zinazozalishwa nchini. Acha kusikia sikia tu, tafiti kama uko interested.
Usifananishe Oil & gas na madini, kwenye madini tulishaliwa kama wajinga kwa ajili ya pupa za Ben.
 
3 WORDS:
Untitled-1-3.jpg

I will admit mzee yaani hiyo picha nilipoiona tu moyo umenienda PAAAA!!

I will confes huyu condi just turns me on sijiwezi kabisaa kwa huyu mama kwanza her intelligence is second to none, pili look at heow she keeps herself smart...by the way kama mnavyojua mkewe Bush hampendi kwani huyu kwa magauni ya VALENTINO na viatu vya JIMMY CHOO she is just impeccable in everyway

She the type you wanna introduce to your parents, the type that you wanna have a conversation with be it about Structure and process in International Relations to TCHAIKOVSKY ...did someone say she is an accomplished Pianist, hivyo nina uhakika kuwa she might wake you up with Tchaikovsky number 5 and take to BACH..na you can alsways talk about Motherland as well kwani ni acomplished diplomat be it about AFCOM or AGOA damn! Everytime she speaks my heart melts...I might like her choice of boss she works with but i am in full support of her neo-realist view of the world
Duh, yaani kumbe mzee mwenzangu wewe ni mbovu sana kwa viumbe hawa?
 
Naona anapata goodtime, hapo alipokaa kwenye benchi ni wapi?
Samahani wakuu, najua ni PICHA TU, lakini ningependa kufahamu zaidi.

Bush alikuwa na Good time sana kule Arusha aisee. Nadhani atalazimisha safari nyingine tena kwenda TZ kabla ya November. Ametoka kwenye kiwinter cha DC na kujaa kwenye tropical climate katika mazingira ambayo ni so friendly kwake kuliko sehemu yoyote duniani.
 
Mkewe amesema lazima arudi wakitoka tuu White House atawaleta watoto wao na mkewe(mume mtarajiwa wa Jenna)
 
Mkewe amesema lazima arudi wakitoka tuu White House atawaleta watoto wao na mkewe(mume mtarajiwa wa Jenna)

Hata safari hii iliwekewa uzito zaidi na Laura, mara tu ya Kikwete kukutana na Bush mara ya kwanza D.C. Na safari ilizidi kuwekwa nguvu zaidi baada ya watoto kutembelea Arusha.
 
Nimefurahi kuwa Tanzania napo tumekuwa na podium ya Rais, at least ikiwa na coat of arms yetu.

bushandkikwete_phixr.jpg

Miaka yote nimekuwa naomwona Rais wetu akitoa hotuba kama vile yuko kilabuni. Ukitaka kuona namna ya mazingira ambamo rais wetu tuhgtela hotuba angalia

DSC07293.jpg

Halafu ulinganishe na watani wetu wa jadi wa Kenya hapa

30cnd-keny2_190.jpg
 
Duh! ebana hili liraisi la Kenya lina sura mbaya jamani...loh!!! Yaani hata Pinda ana afadhali...
 
Back
Top Bottom