Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #41
Jamaa wako chini ya Shin Bet/Shabak ila wa kuwaogopa ni wale jamaa wanaoitwa Kidon.
Hii ya Presidential Security inahitaji Thread yake let me gather some info and pics.
CO SIGN
hao KIDON kwanza hawapo kabisa hata kwenye paper
kama unakumbuka ile movie ya Soielberg ya MUNICH basi wale ndio KIDON actually hata SHIT BET hawajui Kidon wako chini ya nani
Ukisikia hizi assassinations za watu kama akina MUGHNIYE basi ujue hao ndio KIDON wako kazini
I am very impressed kwa kweli na info zako mzee
thumbz up
On a flip side tazama UNIFORM za hao SHABAK wanaomlinda PM wa ISRAEL jamaa kwanza wanaonekana wako tayari 24/7 sio jamaa zetu na vitabi na Kaunda suti zao