Geoffrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS ni nani?

Miaka tele ndiyo nini? Halafu wewe kama siyo mwanachama wa TLS inakuuma nini?

Sio kila tunachojadili humu basi sote ni wahusika mia mia. Mengine ni mawaidha na yanawafikia walengwa kwa kusoma humu.

So lazima tuonye na kushauri pale wanapoenda mrama. Huyo bwana kufungua kesi ni figisu tu. Hana nia njema.
 
Dah,kila mtu anayewashinda hoja kafoji majina,msalitI na sasa si raia...kwani wewe ni mjumbea TLS?Mbona unaingilia yasiyokuhusu?
Weye naye uwe unatumia hata hako kaakili kadogo uliko nako.Id yake fake imekufanya uijue kazi yake? Kama mtu anahisiwa uovu weye unawashwa nini? Subiri tuujue ukweli.Tuliza kipago.
 
Ninachojua wengi wenye Elimu za ujanja ujanja au uraia wa mashaka wanakua wanajipendekeza upande ule ili kuweka kinga ya kufatiliwa ili la kuzuia uchaguzi linawafurahisha watawala sana...
 
Back
Top Bottom