Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,997
- 20,329
Huyu ndiye Godfrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS mjini Dodoma
Taarifa za awali zinamtaja kuwa Gofrey S. Wasonga alisoma shule za Tabora Boys na Tambaza mpaka chuo Kikuu akitumia majina Elia Wiliam a.k.a White. Nyaraka zinaonyesha alisoma na Dr H.W akiwa anajulikana kwajina la Elia Wiliam, Baba yake ni raia wa Mkenya mwenye kabila la Kijaluo, hali inayoleta utata wa uraia wake.
Bwana Wasonga atahitaji kuuthibitisha uraia wake na vyeti vyake vya taaluma ikiwa nipamoja na sababu za kubadili majina yake... Ulimwengu wa Ujasusi huu, kufumba na kufumbua Tanzania itajikuta inavurugwa na majasusi wa kigeni kwa mianya hii midogomidogo ya uhuru wa kufungua kesi nk...
Usalama wa nchi yetu ni muhimu kuliko kila kitu..