kimpe
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 911
- 861
Ni muda kama wa wiki tatu tangu hawa jamaa waanze kunitumia madodoso yao kupitia simu yangu nikijibu maswali kadhaa mwishoni wananipa mia tano kama muda wa maongezi.
Na hiyo wanafanya mara mbili kwa siku kwa hiyo napata elfu moja kwa siku masuala ya kununua vocha siku hizi nimesahau,ni kujiunga tu na vifurushi visivyo na kikomo kila siku.
Mushkeri umeanza kuonekana mwanzoni mwa wiki hii wananipa muda wa maongezi wa elfu moja mia tano asubuhi mia tano jioni.
Na sasa washatuma mia tano bila kujibu maswali swala ni kwamba sisi wengine vya bure hatuviwezi.
Mwenye ufahamu na hawa jamaa tafadhali tusaidiane kueleweshana.