Geo poll wameanza kunitisha, Mwenye taarifa nao anisaidie

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
911
861
Ni muda kama wa wiki tatu tangu hawa jamaa waanze kunitumia madodoso yao kupitia simu yangu nikijibu maswali kadhaa mwishoni wananipa mia tano kama muda wa maongezi.

Na hiyo wanafanya mara mbili kwa siku kwa hiyo napata elfu moja kwa siku masuala ya kununua vocha siku hizi nimesahau,ni kujiunga tu na vifurushi visivyo na kikomo kila siku.

Mushkeri umeanza kuonekana mwanzoni mwa wiki hii wananipa muda wa maongezi wa elfu moja mia tano asubuhi mia tano jioni.

Na sasa washatuma mia tano bila kujibu maswali swala ni kwamba sisi wengine vya bure hatuviwezi.

Mwenye ufahamu na hawa jamaa tafadhali tusaidiane kueleweshana.
 
cjui wameona post yangu wametuma dodoso ss hv so nachkua jero tena cku inaenda
 
mi walinambia nmechaguliwa kujibu dodoso lao ckujua vigezo gani walitumia #Dio Chizi Fureshi
 
Last edited by a moderator:
Mmmh........ipo siku utazilipa hizo pesa wanazokupa kama muda wa maongezi.
 

Attachments

  • 1400920513680.jpg
    1400920513680.jpg
    19.4 KB · Views: 246
Possibles ukweli ni kuwa wanafanya research ya kuunda vipindi vya redio
 
Last edited by a moderator:
m leo wamenipa dodoso lao nimewajbu hawajanipa jero langu mpk sasa
 
dedam mi wamenipa jero langu ila cku mbili tatu hizi walikuwa wananipa hela bure bure bila kujaza dodoso............kumbe tupo wengi wacha tuzipige
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom