Gentlemen nawaita kwa heshima zote

pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
32
141
Hello, everyone

Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume wapo waliorespond raha ya mume muwe zaidi ya mmoja! Wapo waliobisha kabisa wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali sana.

Sasa nawaita wenye nyumba, mimi hua naamini wanawake ni jeshi kubwa but mwanaume ni general of the army.

Kabla sijasimulia nilichotaka kusimulia na kusema ninachotaka kusema naomba niwaulize. Nyie kwenu ni ndoa ipi mnaipendelea ya mke mmoja au ya mke zaidi ya mmoja?
 
Mimi nianze tu hapa hapa nimependa avaatar yako... ngoja nisubiri kidogo huenda nikapenda na mwandiko wako...kisha nikakupenda naa wew
 
Natamani sana ya mke zaidi ya mmoja lakini hawa wake zangu wapendane niishi nao nyumba moja nilale nao kitanda kimoja natamani kama hilo lingewezekana ningefurahi sana.
 
tulale wote tuoge wote tukiwa faragha wote kwa zamu zamu tukitoka hapo tukaoge tule tuje tulale eheeeeeee hivyo hivyoooooo vuta picha pale kati raha hiyooo
 
Back
Top Bottom