Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

hapa ndipo kuna point of contradiction

angalia vizuri pembeni ya huo mfuniko vizuri kuna alama zimewekwa nyeusi upande wa kulia na kushoto kuashiria ndio mwisho wa ujazo then angalia 7

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4

The same, hiyo alama nyeusi ndio inaonyesha hapo juu ya kizibo cha blue kuonyesha limiting point ya pipa kwa juu, the same point niliyosema mwanzo.

Tobo la pipa namba 7 lipo chini ya alama hiyo, hivyo maji yatapitiliza kwenda kwanza pipa namba 11 na namba 10, pipa hizo mbili zikijaa ndio maji yatamalizia kujaza pipa namba 7. Sio kabla ya namba 11 na namba 10.
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11

Namba 7 halijatobolewa chini, maji yataanza kutoka kwenda namba 10 baada ya namba 7 kujaa. So nakubaliana na aliyesema namba 7
 
The same, hiyo alama nyeusi ndio inaonyesha hapo juu ya kizibo cha blue kuonyesha limiting point ya pipa kwa juu, the same point niliyosema mwanzo.

Tobo la pipa namba 7 lipo chini ya alama hiyo, hivyo maji yatapitiliza kwenda kwanza pipa namba 11 na namba 10, pipa hizo mbili zikijaa ndio maji yatamalizia kujaza pipa namba 7. Sio kabla ya namba 11 na namba 10.
haya mkuu

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Back
Top Bottom