Genital mutilation of women: the Knife of Love?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Genital mutilation of girl, FGM is carried out with knives, scissors, scalpels, pieces of glass or razor blades. Anaesthetic and antiseptics are not generally used.
 
Nimeangalia hii picha nimepata maumivu ya ghafla ya sehemu za siri:sad:
 
Inasikitisha some society still practice this inhuman and degrading act.
 
Ni kwamba unatafta EQUALITY between men and women?au?hujui kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke?
 
Arrrrrrg!Natamani nisingeangalia hiyo picha!Hivi hao wakataji hua wanajiskiaje??Maana kujifikiria kama mkatwa au mkata vyote vimenishinda!Nawaonea huruma wanaopitia hayo!
 
Tohara zote hazifai! Najiuliza kama ningetahiriwa ukubwani-tena kiasili kule kwetu gvi linakatwa na kisu butu-bila ganzi... ingekuwaje!!!
 
Tunadumisha mila...

Ila tukubali white man ni kichwa! Hizi mila tunaanza kuzikandya kwa sababu mzungu kasema ni mbaya na inhuman!

Zamani alisema abortion ni mbaya tukafuata....abortion tukapiga marufuku...utandawazi umeingia kaanza kussuport abortion...right to choose..wao wanaita.....here we go..na sisi tumeanza kulalama kwamba abortion iruhusiwe.......white man..alikuwa anachukia ushoga na sisi tukafuata....tukasema atayeonekana shoga..ni adhabu kali....leo hii amebadili msimamo..na sisi "tumeona mwanga"..tunasema ushoga ni human rights uruhusiwe.......Whiteman...zamani alikuwa na familia kubwa na wake wengi.. na sisi tukafuata....leo hii hataki hata kuwa na familia...na sisi tunafuata..tunasema we are too busy with life to take care of families....nk nk..sasa jamani mniambie where and when will it end? White man..alitutawala miaka mia na ushee......hakujifunza mila zetu wala lugha zetu....leo sisi tunaambiwa kusudi uwe mtu wa maana lazima uongee lugha ya whiteman......na sisi tunasema..sawa kabisa..kama Ivuga na Masanilo wasipoongea lugha ya white man tunasema..hawajui lolote..na wakikosea kuitamka..inaweza hata kuwa ground ya kuwanyima kazi......hata kama ujuzi wa kazi wanao.....next time..watatembea uchi..na sisi tutasema yes..ni human rights to privacy and "right to our bodies.."....

To me, it seems we have delegated our capacity to think to the whiteman...My question is....why is it that we AFRICANS dont have our original thinking to determine what is good and bad for us? Mpaka tuambiwe?? au mpaka mwingine afanye?? na akibadili msimamo..na sisi unabadili..... Its scary..isnt it?
 
Back
Top Bottom