Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,816
- 32,715
Ebwana wanaJF mzuka!
Ni tetesi tu wadau. Nimesikia sana na pia kushuhudia eti ukiwa Muafrika una uraia na akili sana ama Genious ulaya halafu una kiherehere wazungu hawapendi na wanaona wivu na lazima wakupunguzie kasi kwa kukufanya chizi.
Nasikia wanakulia timing unapokuwa mgonjwa na kwenda hospitalini hapo ndipo wanakukamatia kwa kukuchoma sindano ama kukupa dawa. Na sio eti unakuwa chizi wakati huo ghaflat bali Ni taratibu.
Kama Ni kweli inasikitisha sana kwasababu nimeshuhudia waafrika watatu wenye hali kama hii. Kuna huyu anaitwa Cisse mgambia mhandisi yupo hapa toka 1989 ana watoto na alidevorce. Sasa hivi anaishi from government social benefits support na kapewa studio apartment Nasikia jamaa ubongo wake ulikuwa unachaji sana.
Kuna mwengine mkenya anaitwa Ogola nasikia alikuwa computer wizard naye wamemput down kiaina ukimuona unabaki na simanzi. Kuna Aziz kutoka Darfur western Sudan aliingia hapa 1992 akitokea Lebanon nasikia alikuwa very bright mhandis yani ukimuona inasikitisha nao hao wote wanakula social benefits na kupewa apartments.
Ila ni tetesi tu uhenda ni stress ama depression lakini lisemwalo lipo. Hizi bills za huku ni hatari. Yani bills ni kama jela na minyororo isionekana.
Je hizi tetesi ni za kweli? Nawakilisha.
Cc Benny @VictoireBorat69 Jimena Zamaulid Tokyo40 UncleBen mshana jr Kaboom King Kong III mrangi Kiranga Nyani Ngabu