Genge la mafisadi

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Wenzetu Kenya wanateswa na genge haram la mungiki genge hili lime weza kuingiza wanachama wake kwenye nafasi nyeti za uongozi nchini Kenya bungeni hata kwenye baraza la mawaziri, hapa kwetu kuna genge hatari la mafisadi limeiga staili ya mungiki lili anza wakati wakura za maoni lika fanikiwa likafanya kila njia mtandao wao uingie bungeni wengi wameingia sasa wamehamia kwenye uspika, wakifanikiwa watahamia kwenye baraza la mawaziri. Baada ya hapo wataanza safari ya 2015 nakutakua hakuna wakuwazuia kwa nguvu ya pesa walizo ibia serekali.mfano ni fisadi Chenge kuutaka uspika
 
Back
Top Bottom