Uchaguzi 2020 Geneva: UN Rights Chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections

Hao UN wamesikia ya Marekani? Wametoa tamko au ndo huwezi kata mkono unaokulisha.
 
Jwtz iangalieni ccm kwa uzalendo wa kinafiki Mimi Kama mzalendo nawatahadharisha
 
Jwtz ijiangalie je icase ikalazimika kuzichapa kivita halisi mpaka wa namanga au tunduma au karagwe mnatoboa? Hapa mtaona ubaya wa kuweka masisiem na kuyalinda masisiem kwenye mipaka ya nchi .
 
mmeweka maccm mipakani kwa ngugu jwtz msichokoze mtiti kipindi hiki mtasalitiwa asubuhi.
 
Tanzania is the Independent country, cannot be intervened by any organisation for its internal matters, so that illigal attempt to intervene her internal freedom is against international laws. We could easily condemned for any false information supplied to the international organizations for any hidden reasons.
 
Jwtz mkitaka muone kwamba CCM imeshinda kihalali uchaguzi anzisheni mtiti na nchi yoyote Kati ya nchi 9 zinazotuzunguja mkishinda Vita basi CCM inapendwa.
 
Hidden reasons while you have forcefully rigged up the election. ..... How comes ccm won mbeya arusha mara ubungo etc
NTanzania is the Independent country, cannot be intervened by any organisation for its internal matters, so that illigal attempt to intervene her internal freedom is against international laws. We could easily condemned for any false information supplied to the international organizations for any hidden reasons.
 

OHCHR | UN rights chief disturbed by harassment of opposition following Tanzania elections​

GENEVA (10 November 2020) – UN High Commissioner for Human Rights Michelle Bachelet on Tuesday said she was disturbed by reports of continued intimidation and harassment against opposition leaders and members in Tanzania in the aftermath of the general elections. She called on the authorities to ensure people are able to express their grievances without fear of reprisals.

Reports indicate that at least 150 opposition leaders and members have been arrested since 27 October in mainland Tanzania and in Zanzibar. While most have been subsequently released, at least 18 reportedly remain in custody.&

Police officials have stated that the individuals arrested were planning violent protests. Police officials warned publicly on 31 October 2020 that they would not allow protests to go ahead, citing alleged plans to cause chaos, and they threatened to use force and detain anyone taking part in demonstrations.

"The tense situation in the country will not be defused by silencing those who challenge the outcome of the elections, but rather through a participatory dialogue," Bachelet said. "I urge the Tanzanian authorities to respect and facilitate exercise of the rights to freedom of expression and of peaceful assembly."

The High Commissioner called for the immediate release of those detained for exercising their human rights. She called on the Government of Tanzania to ensure that security forces and law enforcement officials act according to the rule of law and human rights norms and standards.

Under international law, there is a presumption in favour of considering assemblies to be peaceful, the High Commissioner stressed.*

These developments follow reported pre-election intimidation and harassment of civil society organisations and journalists, as well as allegations of police brutality against opposition members and supporters on the day of the election. Bachelet called for prompt, thorough, independent and impartial investigations into all allegations of human rights violations before, during and after the polls – particularly into the killing of at least 10 people and the injuries sustained by over 50 others in Zanzibar on 26 October.

The High Commissioner also expressed concern at Internet restrictions, including the blocking of many social media and messaging platforms, and the censoring of election-related content.

"Free flow of information is critical to any democratic society, and especially so in an electoral context," the High Commissioner said, adding that any restrictions on information and communication technology must be in line with international human rights laws and standards.

ENDS

* For details, see General Comment No. 37 on Article 21 of the International Covenant on Civil and Political Rights – Right of peaceful assembly:& https://www.ohchr.org/EN/HRBodies/CCPR/Pages/GCArticle21.aspx

For more information and media requests, please contact: Rupert Colville -& + 41 22 917 9767 / rcolville@ohchr.org or Ravina Shamdasani - + 41 22 917 9169 / rshamdasani@ohchr.org or Liz Throssell - + 41 22& 917 9296 / ethrossell@ohchr.org or Marta Hurtado - + 41 22& 917 9466 /& mhurtado@ohchr.org

Tag and share -& Twitter:& @UNHumanRights& and Facebook:& unitednationshumanrights

View attachment 1623412
You can swallow your spits,,,, we don't the implants Keep only one thing in your mind if you have,,, Your people,, the so called oppositions have been vehemently rejected by the majority Tanzanians who are now very wide awake,,, take them to Europe and give them nationalities and humane benefits simple LEAVE TANZANIAN ALONE
 
You can swallow your spits,,,, we don't the implants Keep only one thing in your mind if you have,,, Your people,, the so called oppositions have been vehemently rejected by the majority Tanzanians who are now very wide awake,,, take them to Europe and give them nationalities and humane benefits simple LEAVE TANZANIAN ALONE
Aibu yenu na dikteta wenu-
 
Sisi viongozi wetu wa Tanzania wametawaliwa na "UBISHI/KIBURI" cha kijinga sana. Hivo wanavyojifanya wehu wa kuelewa na ubishi wa kutofuata wito zote zilizotolewa na mataifa yenye nguvu na ushawishi duniani (Ni kujitakia maafa makubwa sana kwa taifa), muda si mrefu watayapata wanayotaka.

"UN Comission Of Human Right" ndio aliokua anasubiriwa kutoa tamko la mwisho (NOTE: UN ni kibaraka wa USA). Sasa kazi inakaribia kuanza.

Usikose kufuatilia Episode ijayo ya "Mahakama Ya Kimataifa Ya Makosa Ya Jinai ICC". Loading
Sio kibaraka, kuna mikataba muhimu duniani ilishakuwa signed, sasa kama tuli sign kwa nini tunaenda kinyume.Tena mikataba yenyewe ni muhimu sana.
Tazama kilichofanyika katika uchaguzi.
Hawa wapuuzi wakiachwa achwa na kushabikiwa kwa staili za "magonjwa mtambuka" na crimea tutaumizana sana.
Mijamaa haiheshimu rule law, kitakachofuatia ni dhulma na kukandamizana, na hakutakuwa na wa kuhoji.
***ngoja uone nyongeza za mshahara kama zitazidi 30,000/- kwa hawa ea cadre za kawaida
***Private sector itakuwa lakini kwa kudumaa "increasing at decreasing rate"....
Yote haya kwa sababu kule ndani kutakuwa na kauli za dizaini hii:-
" kwa kweli tuangalie kidogo hili suala kwa kiasi fulani kidogo lakini kikubwa linamuumiza mwananchi wa chini, najua serikali yetu nyenyekevu na sikivu italifanyia kazi,NAWEKA SHILINGI"
"Jambo hili litawapa shida wananchi, lakini.....NAUNGA MKONO HOJA"
 
You can swallow your spits,,,, we don't the implants Keep only one thing in your mind if you have,,, Your people,, the so called oppositions have been vehemently rejected by the majority Tanzanians who are now very wide awake,,, take them to Europe and give them nationalities and humane benefits simple LEAVE TANZANIAN ALONE
Hahaha, unamjibu kama anasoma vile, hakukuwa na vehemently rejection.
Keep your finger in your butt hole,shake your ass three times to signify "councillors, MPs and Prez votes" then smell it, what your nose detect is the "2020 General election aroma".
 
Chief wa United Nation ni beberu.. ha ha ha

Mntamponza baba yenu bure!! aweke record ya kuwa Rais wa kwanza Tanzania kuburuzwa ICC.

Usicheze na chief wa UN aisee!! Vichezeeni hivi vi taasisi vya Africa ila siyo UN.
Acheni kujifariji. Maandamano nlini?
 
Huu ni mwaka wa nne mnatuletea ngonjera za watu kuuawa!
Hata makaburi hayaonekani!
Tiini mamlaka ndugu, hilo ni agizo la Mungu mwenyewe
Mamlaka iliyoingia kwa kura za kygushi? au unasema mamlaka iliyochaguliwa na nani?
 
You can swallow your spits,,,, we don't the implants Keep only one thing in your mind if you have,,, Your people,, the so called oppositions have been vehemently rejected by the majority Tanzanians who are now very wide awake,,, take them to Europe and give them nationalities and humane benefits simple LEAVE TANZANIAN ALONE
= Zero brain. Leaders obtained by fake vote!!?? What do you mean you empty headed??
 
Waambieni kina Lema, Mbowe, Lisu na wote wa aina yao waondoke wahamie huko.
Unatoa bogus comments kwa sababu muono wako ni finyu na akili yako inaona hapo ulipo. Haya majibu marahisi unayotoa hapa hayatakisaidia Chama chako. muulize kenyatta na ruto, alibashiri, Gharbo, Charles tailor, marehemu Milosovich nk. ujue JPM is not exceptional
 
Unatoa bogus comments kwa sababu muono wako ni finyu na akili yako inaona hapo ulipo. Haya majibu marahisi unayotoa hapa hayatakisaidia Chama chako. muulize kenyatta na ruto, alibashiri, Gharbo, Charles tailor, marehemu Milosovich nk. ujue JPM is not exceptional
Pole sana mkuu! Hii ni nchi huru, hao unaowategemea hawatakusaidia chochote na wao wapo kwa maslahi ya nchi zao.
 
Next step ni Immediately , Impartial, thorough and independent investigation. Hili ni shinikizo na maana yake process inaanza na haitahusisha MipoliCCM wetu ambao ndio watuhumiwa namba 2
 
Back
Top Bottom