EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,683
Habari za majukumu wakuu.Mimi nipo mbeya.Ninauliza kama kuna yeyote anayejua sehemu wanayouza majenereta ya umeme hapa mbeya.Nataka nipate jenereta jipya kwa ajili ya shughuli zangu mgao wa umeme umekuwa mkali