Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,468
- 2,163
Haina shida! Wewe tangaza nia lakini matumaini yangu ni kwamba unakifahamu CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ vizuri. Hicho ni CHAMA!alafu iweje mkuu nkishaenda CUF wakati natangaza nia mbeleni mkuu