mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Wapaka poda na lips shine hawana muda na siasa,wapo bize na amapiano huko.
Tupambane na malezi na mungu atusaidie
Wapaka poda na lips shine hawana muda na siasa,wapo bize na amapiano huko.
Angalau vinaweza kuhoji havijajengewa uoga wa kijinga kama cha 1990sUkomboziwa kweli unaletwa na strategic plan sio generation.
Hivi vizazi cha sasa naona ndo vinakuwa dhaifu zaidi,'vizazi vya kwa Mpalange' ni shida
Unaiongelea hii generation inayo vaa suruali chini ya makalio?
Hio inaitwa Poisoning the well..kwan kila aliezaliwa hio miaka anaanya ivo?
Hio inaitwa Poisoning the well..
Ni fallacy kwenye majadiliano
Kwa kuwa Adolf hitler alikua vegetarian basi kila vegetarian kwake ni dikteta...
Watu hawajui kizazi kinabadilika.....mostly ya wapiga kura wa hovyo na political fanatics ni 1989s kurudi nyuma
Kwahio kumaliza chuo pekee yake ndio nini?kua kiongozi kunahitaji critical reasoning sehem penye shida paonekane pana njia, sasa kama umemaliza tu chuo umeshindwa kutumia elimu kutoka kimaisha unataka kumwongoza nan?
Kwahio kumaliza chuo pekee yake ndio nini?
Nchi haina infrastructure yoyote ya kulea entrepreneurs, ajira pia hakuna halafu unataka mtu akitoka chuo overnight awe na stable income?
Nchi imekaliwa na wazee kwenye sekta nyingi muhimu zinazofanya maamuzi thus why mnawekewa tozo mpaka kwenye Luku na mnaona it's ok tu
Na niliposema infrastructure unaelewa na maana gani?
Mkuu, nilidhani una mada, kumbe unatania?Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.
Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s
Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.
Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.
Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
Sisi wa 70s ndiyo tuliathiriwa sana na hao wa generation baby boomers ya 50s...Walitukosesha ajira, wameturithisha ufisadi etc...Hakuna kizazi kimeathirika kama chetu...Full frustrations!Nimecheka sana na kusikitika! Wengine tunafikiria hii generation itaishia wapi wewe ndio unaona wakombozi? Generation bora imekuta baba zao wanateketeza nchi, hadi generation hii (generation bora) inazeeka bado baba zao wanateketeza nchi. Kifupi generation bora nchini haikupata nafasi, kwasababu hadi leo generation ya 50s ndio inafanya maamuzi.
Kwa hiyo hata baba yako na mama yako ni makatili?Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.
Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s
Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.
Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.
Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
Hakuna kitu kinaitwa ukombozi ila yatakuwepo mageuzi, 1990 haiwezekani labda sema kuanzia Y2K yaani 2000 na kuendelea maana ndio mwanzo wa karne ya 21Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.
Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s
Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.
Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.
Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
Hawa vijana wanaovaa mlegezo boxer nje?Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.
Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s
Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.
Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.
Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
Ndio maana niliuliza unajua maana ya Infrastructure?entrepreneurs hua wanalelewa? do you even know what it means to be an entrepreneur?
1) umemaliza chuo umepata elimu haya sasa apply elimu yako umeshindwa unataka kuapply nn kwenye uongozi?
2) Hivi nani huyo anawalea kwamba ajira ni lazima? how much does an employee take home and how much does your boss take home?
3) Tozo zmekuja juzi hazina hata miezi miwili, kama haukua na ujinga ungekua basi ushafika mbali, tozo ishakua kikwazo tena na zmekuja juzi, huo tunaita upumbavu
4) You have failed in everything already as you are not educated from only the few sentences you have typed, endelea kupigikka vizuri