General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

Nahisi hii pic ilichukuliwa haraka haraka hata hivyo afande Mabeyo alipaswa amwelekeze CiC position yake.
Labda alishikwa na uoga wa gafra hahaha. Lawama nawapa watu wa kitengo cha habari JW; Ina maana hawakuliona mpaka waisambaze hii picha?!
Hawezi kushikwa na uoga kumuelekeza mtu The Right Position , au ndo mkubwa hapangwi!!
 
Anaekaa kulia ni yule anayepokea salute na kupiga salute namaanisha kutoa heshima na kupokea heshima hvyo kwa kuwa wamesimama mpokeaji na mtoaji heshima ndio hukaa kulia.
Unapopokea na kutoa salute mkono unatakiwa kuwa huru. Kwa mfano labda General Mabeyo kaenda kambini akiwa na nguo za kiraia halafu wakawa wanatembea kwa pamoja na one star general ambaye amevaa kijeshi basi one star general atakuwa kulia kwa four star general na atapokea heshima zote zitakazotolewa na walio chini yao kivyeo na hata za two or three star general salute zao zitapokelewa na one star general anaeongozana na mkubwa wao.
 
Hapa wote wamevaa uniform. Mfano wako hautusaidii.

..hata viatu alivyovaa afande cdf naamini havistahili kwa uniform aliyovaa.

..alitakiwa avae mabuti na achomekee suruali yake ktk mabuti.

..pia haiwezekani tuwe na maofisa ktk jeshi moja lakini wanavaa uniform kila mtu kwa namna yake.

..kwenye masuala ya unadhifu namkubali zaidi afande igp simon sirro.
 
Mtoa Mada umeeleza vizur na nikweli hakutakiwa kuonekana position hiyo kwasababu boss wake atakua kushoto kwake.
Lakini nakupa Fact za kwanini imekua hivyo
1.hawakuwa sehemu ya ki mamlaka yaani mfamo angekua amekaa au yupo ofisini au akiwa kikazi lazima msimamaji awe ki protocol.
Picha hii hujui huenda wakati wanatembea au kutoka nje waandishi wakawawahi kupiga picha so CDF hakuwa amekaa ki protocol sababu ilikua ni casual works.
2. Katika mazingira ya Casual CDF anamuweka Boss mkono wa kushoto yeye anakua kulia hii inatoa maelezo kwamba lolote likitokea mkono wake wa kuume upo tayari kukabili na kuzuia attack huku mkono wa kushoto ukiwa umemhifadhi Mkuu.
3. Tazama mfano wa wanandoa Mme humuweka Ke kushoto ili kulete ulinzi kwa mkono wa kuume ipo hivyo hata viti vya kwenye shughuli ambazo wanawekwa couple Me hukaa kulia ya Ke.
4. Ki mamlaka na official Mdogo hukaa kushoto mwa mkubwa ila hapa hawakua ki Official.
 
Back
Top Bottom