Hawezi kushikwa na uoga kumuelekeza mtu The Right Position , au ndo mkubwa hapangwi!!Nahisi hii pic ilichukuliwa haraka haraka hata hivyo afande Mabeyo alipaswa amwelekeze CiC position yake.
Labda alishikwa na uoga wa gafra hahaha. Lawama nawapa watu wa kitengo cha habari JW; Ina maana hawakuliona mpaka waisambaze hii picha?!