General Tyre imeuzwa Kinyemela?

Zile ni ofisi za idara ya maji nimeambiwa! Ila kwa sasa wachina wanaochimba mitaro ndiyo wanaozijenga na kuzitumia,ila watakapomaliza kazi zao wataziacha hizo nyumba chini ya Auwsa!
Looh ni nyingi sana.
Hapa wachina wapo mda mrefu
 
Looh ni nyingi sana.
Hapa wachina wapo mda mrefu
Kama pale kwenye uwanja mkubwa wa Arusha Secondary walivyopapiga! Mwanzo ilisemwa kuwa wachina wameomba kuweka kambi yao kwa muda wakati wakirekebisha barabara za mjini,baadaye wakabadili fence kutoka mabati kwenda tofali! Walivyoona kimya wakahamia na upande wa chini wa barabara,pale pana uwanja mkubwa unaoshuka hadi karibu na reli,wakazungusha mabati bila kufanya shughuli yoyote ndani,baadaye wakaanza kufyatulia matofali humo! Sasa hivi ni mali ya Beijing China construction limited! Upande wa juu ni yard ya magari,na chini ni sehemu ya material! Mchina ni adui mpya kwa mustakabali wa nchi!
 
Hapo hawatapaachia kiurahisi kabisa, ni wamepapendezesha vijengo hivo.
 
Hivi Continental walikuwa wamiliki au wabia?
Continental tyres ni kama cocacola wanamiliki asilimia kutumia technologia yao enzi za mwalimu,lakini kiwanda kilishindikana pale mashamba ya malighafi yalipo uzwa kama lile la tanga na zanzibar ambayo ilikuwa inasupply mpira, hicho kiwanda hakiwezi kufufuliwa kwani mbali na technologia,tyre nyingi sasa hivi inatengenezwa mahali malighafi iko na sisi hatuna tena,inabidi shamba zote za mpira tufufue halafu tufunge machine mpya ya kutengeneza matairi ya kisasa ambayo ni tubeless.
 
Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?

Kilombero Arusha ni kichefu chefu...Sasa Pale ni Soko au Stand au pakoje?
 
Viwanda vikubwa wabongo hatuwezi kuendeshwa lazima viuzwe wabongo tuanzishe viwanda vya cherehani mpaka tupate ujuzi wa kuendesha viwanda vikubwa
 
Hatimae Jana/Juzi Mbunge wa Arusha ameongelea ufufuaji wa General Tyre.
 
Back
Top Bottom