General Pervez Musharaf-"i Won't Resign"

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,484
21,485
Musharaf amesema kuwa katu hatojiuzulu...Hii ni mara baada ya juhudi ambazo zimeanza za impeachment.
Kaazi kwel kweli...Maana moto unawaka kilamahali.
Duniani ama kweli kuna mambo...Maana Musharaf yeye na Bush ni damu damu....Lakini mimi nadhani huu jamaa nae anakula kote kote tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom