Midhali ni kaugonjwa iko siku atakuja mwendawazimu mwingine itagawika... usishangae hii meguamegua iko mikoa au wilaya zitamegwa ili kuongezea maeneo sehemu zingine!!! Siasa zikitawala weledi 'upumbavu hutamalaki!' Ati mzee fulani alitoa ombi... haya shime na butiama iwe mkoa tumuenzi Mwalimu ila tusisahau Liwale, Masasi na... na... na....
Rejea "mzee aliyeomba wakati wa msiba... halafu rejea vikao vya madiwani na rcc..." kisha tutaanzia hapo kujadili MkuuWenyewe hawajaomba
He!!! Kumbe haijikidhi wanaomba wilaya kutoka mikoa mingine!!!! Ukistaajabu ya Musa...!!!!Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki.
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum leo kwaajili ya Mapendekezo ya kuunda Mkoa Mpya wa Chato, Kimependekeza yafuatayo:
1. Mkoa Mama wa Geita ubakiwe na Wilaya tatu ambazo ni Wilaya ya Geita, Mbogwe na Wilaya ya Nyang'hwale.
2. Imependeleza iombwe Wilaya ya Sengerema ambayo ipo Mkoa wa Mwanza, ili iweze kukamilisha Wilaya nne za Geita pamoja na Wilaya Pendekezwa ya Busanda.
3. Mkoa wa Chato imependekezwa kwa iundwe na Wilaya za Geita ambazo ni Chato yenyewe, na Wilaya ya Bukombe.
4. Pia imependekezwa kutoka Kigoma, iombwe eneo kutoka Wilaya ya Kakonko, pia kutoka Kagera imependekezwa ziombwe Wilaya mbili ambazo ni Biharamulo na Wilaya ya Ngara.
Mapendekezo haya yamekamilika na yamekubaliwa na wajumbe wote wa RCC.
Sasa yatapelekwa kwenye Wizara husika ili yaweze kufanyiwa kazi.
Zaidi, soma; Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato
Yes!!! Ne yeye apendelee Zanzibar!!!!Bora wangafanya hata Kahama kuwa mkoa ili waipunguzie mzigo Tabora kwa kuimega hasa Nzega kuja Kahama na sehemu zingine
Mbona Chalinze au Butiama hawakuwa na hizi Shobo hii ni dalili ofisi kubwa alikalia mtu wa ajabu sana
Mama wewe wape wanayotaka (Sijui Mikoa) lkn pia wasikuingilie ukianza kuendeleza Zanzibar na Pwani yote , maana wao wameanza wewe maliza tena una njia aliyoionyesha mwenzako (Mwendazake) ya kupendelea kwao na wa makabila ya kwao na wa imani yake (Ndo maana hata porini Dom haupataki huko kwa wa Bara) kutesa kwa zamu
Ha ha ha!!! Porini Dom mama hapataki!!!! This is great!Bora wangafanya hata Kahama kuwa mkoa ili waipunguzie mzigo Tabora kwa kuimega hasa Nzega kuja Kahama na sehemu zingine
Mbona Chalinze au Butiama hawakuwa na hizi Shobo hii ni dalili ofisi kubwa alikalia mtu wa ajabu sana
Mama wewe wape wanayotaka (Sijui Mikoa) lkn pia wasikuingilie ukianza kuendeleza Zanzibar na Pwani yote , maana wao wameanza wewe maliza tena una njia aliyoionyesha mwenzako (Mwendazake) ya kupendelea kwao na wa makabila ya kwao na wa imani yake (Ndo maana hata porini Dom haupataki huko kwa wa Bara) kutesa kwa zamu
N geita je?Mikoa mingine hata ikiwa mikubwa inaweza kuwa vigumu kuikata kwa sababu ya population density kuwa ya chini. Unaweza kukuta mkoa una eneo kubwa lakini wakazi ni wachache kwa hiyo mkiukata mnawabebesha wananchi wachache mzigo mzito wa kulea serikali za wilaya/miji na mitaa.
Well said, Morogoro tu mbona na. Mkoa wa Tabora nao ni mkubwa sana hatujawahi kusikia mapendekezo ya kuigawa mikoa hiyo - ukiangalia kwa umakini utaguduwa Mikoa mipya iliyo anzishishwa ilitokana na shinikizo la kisiasa za Mawaziri wakuu na baadhi ya mawaziri kutoka mikoa husika,mfano: Mkoa was Manyara,Mkoa wa Katavi, Mkoa wa Geita huyo huyo ndie muhusika mkuu wa kalazimisha uundwaji wa Mkoa wa Chato/Rubondo - mambo gani haya?Buriani Geita. Ni ushamba kuna ulazima gani? Mbona Morogoro haigawiki?
Tabora ni eneo kubwa balaa, hebu wapeni mkoa mpya.Chato ni mkoa ambao hautakuwa na mvuto kabisa.
Harafu wanataka kuipotezea radha kagera kwa kuitolea wilaya zake.
Hivi kwa nini wasikate mikoa mikubwa wanaenda kukata mkoa mdogo? Yaani hii nchi tumepigwa kabisa
Kuendeleza ukabila wa Magufuli.Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki.
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum leo kwaajili ya Mapendekezo ya kuunda Mkoa Mpya wa Chato, Kimependekeza yafuatayo:
1. Mkoa Mama wa Geita ubakiwe na Wilaya tatu ambazo ni Wilaya ya Geita, Mbogwe na Wilaya ya Nyang'hwale.
2. Imependeleza iombwe Wilaya ya Sengerema ambayo ipo Mkoa wa Mwanza, ili iweze kukamilisha Wilaya nne za Geita pamoja na Wilaya Pendekezwa ya Busanda.
3. Mkoa wa Chato imependekezwa kwa iundwe na Wilaya za Geita ambazo ni Chato yenyewe, na Wilaya ya Bukombe.
4. Pia imependekezwa kutoka Kigoma, iombwe eneo kutoka Wilaya ya Kakonko, pia kutoka Kagera imependekezwa ziombwe Wilaya mbili ambazo ni Biharamulo na Wilaya ya Ngara.
Mapendekezo haya yamekamilika na yamekubaliwa na wajumbe wote wa RCC.
Sasa yatapelekwa kwenye Wizara husika ili yaweze kufanyiwa kazi.
Zaidi, soma; Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato
Kashindwa nani kupiga U-Turn? Hivi amuoni yaliyo kumba mji aliozaliwa Mobutu Sseseko - hivi sasa zahama hizo ndio zimeanza kunyemelea mji Chato ambao alizaliwa JPMKumekuwa na mjadala mkali kuhusu uhalali wa wilaya ya chato kupewa hadhi ya makao makuu ya mkoa mpya , na pia kumegwa wilaya za mikoa mingine ya karbu ili kuunda mkoa huo mpya , jonzi hii ilikuwa ni ya aliyekuwa Raisi wa jamhur wa muungano wa Tanzania hayati J.P.J.Maghufuli.
Kimsingi inakuwa ni ngumu kuizima jonzi hyo hata kama mkoa huo mpya wa chato hasa wilaya ya chato kutokuwa na hadhi hyo ,
Hayati alikuwa ameanza kuwekeza miradi mizito wilayani chato , kiukweli miradi hyo ili iweze kufanya kazi Kwa ufanisi ni lazima chato iwe makao makuu ya mkoa mpya zaidi ya hapo miradi hyo itakuwa dead project ...
Ujenzi wa uwanja wa ndege , hospital kubwa ya kisasa, kufunguliwa Kwa matawi ya huduma za kibank , ujenzi wa barabara ,na hifadhi ya burigi na Bandari pia naskia ipo kule ..N.K .miradi hii yote ingekufa kibudu na ingekuwa bonge la hasara Kama wilaya ya chato haitakuwa mkoa ....
Kupewa hadhi ya mkoa kutavutia shughuli za kiserikali na hii itafanya miardi hyo iwe na tija. ....
Kimsingi jamaa kafariki akiwa ameisogeza chato kwenye point of no return thus why hata viongozi waliopo wameshindwa kupiga U-Turn.
Tumepaza sauti lakini wapiTabora ni eneo kubwa balaa, hebu wapeni mkoa mpya.
Tumepaza sauti lakini wapiTabora ni eneo kubwa balaa, hebu wapeni mkoa mpya.