Nicodemas Tambo Mwikozi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 663
- 1,047
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Matumaini ya kuwapata watu walionasa chini ya mgodi Geita yameongezeka baada ya timu ya waokoaji kufanikiwa kuchoronga mwamba na kufikia wachimbaji hao ambao wametuma ujumbe mfupi kwamba wako 15 na wote wako hai ila wameomba chakula kwa kuwa wana njaa na mmoja wao sasa haongei kwa kuzidiwa njaa.
Tayari timu ya madaktari kutoka Hospitali ya Mkoa wa Geita na hospitali ya Waja wametuma glucose na maji ambayo yamepokelewa.
Tayari timu ya madaktari kutoka Hospitali ya Mkoa wa Geita na hospitali ya Waja wametuma glucose na maji ambayo yamepokelewa.