Geita: Wananchi wadaiwa kufuga Fisi na kuwatumia kama usafiri

Mlemhola wamayo nabha bhabha,, koyomba gwa nhana gete eeee mbiti tolenajo neyo jiletwambeleja gete gete

Niliwahi kuishi Same Kilimanjaro sehemu moja inaitwa Gonja-Maole na wasambaa, kuna mzee nilitofautiana nae kidogo ni mzee wa kisambaa

Kiufupi alinikopesha pesa na nikamuahidi siku ya kumrudishia, ilipofika siku yenyewe sikuwa na pesa ya kumpa akadhani namfanyia makusudi kuwa nataka kumdhurumu

Akanitishia ushirikina kuwa atanifanyia kitu mbaya,, aliponiambia nilipata ujasiri wa kumdhurumu kabisa maana niliamini hawezi nifanyia chochote

Nikamuambia kabisa mzee sikulipi pesa yako nasubiri utimize kwanza ulichoniahidi, tukawa tunapishana tu namsalimia anaitikia kwa unyonge mpaka miezi miwili na kitu ikapita

Baadae nahis aliamini kweli namaanisha sina mpango wa kumlipa ikabidi aende kwa mwenyekiti wa mtaa

Mwenyekiti aliponifuata nikaona isiwe kesi ndo nikamlipa,,,, Nimekulia mtaaa fulani unaitwa Kigoma Road upo Halmashauri ya Mji Geita kata ya Kasamwa

Nadhani wanaofahamu matukio ya pale wataelewa nilikuwa natembea usiku mnene peke angu bila woga

Kuna ndg yangu ni kiongozi wa ngoma ( jamii ya wachweji) mkoa wa Geita nadhani hapa pia watu wa usukumani mnawajua wachweji ni watu gani, kanifundisha vitu vingi sana

Niliwahi kushuhudia tukio lake la kuua wachawi wawili waliokuwa wameenda kwenye sherehe kuiba nyama lililotokea Kata ya Bulela Halmashauri (mji) Geita

Kiufupi bila yeye kuwepo wachweji hawafanyi lolote huwa naona mnavyowasifia kina Mshana Jr nabaki kusema tu hamjui mlitendalo



Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huko usukumani ushirikina Ni nje nje
 
Sitaki kelele tafadhali, niko nachambua mafaili na kutengeneza plan za maendeleo ya nchi, wiki ya pili sasa, hii kazi Ni ngumu na inachosha. Mniombee.
 
Back
Top Bottom