Geita: Wananchi wadaiwa kufuga Fisi na kuwatumia kama usafiri

Mlemhola wamayo nabha bhabha,, koyomba gwa nhana gete eeee mbiti tolenajo neyo jiletwambeleja gete gete

Niliwahi kuishi Same Kilimanjaro sehemu moja inaitwa Gonja-Maole na wasambaa, kuna mzee nilitofautiana nae kidogo ni mzee wa kisambaa

Kiufupi alinikopesha pesa na nikamuahidi siku ya kumrudishia, ilipofika siku yenyewe sikuwa na pesa ya kumpa akadhani namfanyia makusudi kuwa nataka kumdhurumu

Akanitishia ushirikina kuwa atanifanyia kitu mbaya,, aliponiambia nilipata ujasiri wa kumdhurumu kabisa maana niliamini hawezi nifanyia chochote

Nikamuambia kabisa mzee sikulipi pesa yako nasubiri utimize kwanza ulichoniahidi, tukawa tunapishana tu namsalimia anaitikia kwa unyonge mpaka miezi miwili na kitu ikapita

Baadae nahis aliamini kweli namaanisha sina mpango wa kumlipa ikabidi aende kwa mwenyekiti wa mtaa

Mwenyekiti aliponifuata nikaona isiwe kesi ndo nikamlipa,,,, Nimekulia mtaaa fulani unaitwa Kigoma Road upo Halmashauri ya Mji Geita kata ya Kasamwa

Nadhani wanaofahamu matukio ya pale wataelewa nilikuwa natembea usiku mnene peke angu bila woga

Kuna ndg yangu ni kiongozi wa ngoma ( jamii ya wachweji) mkoa wa Geita nadhani hapa pia watu wa usukumani mnawajua wachweji ni watu gani, kanifundisha vitu vingi sana

Niliwahi kushuhudia tukio lake la kuua wachawi wawili waliokuwa wameenda kwenye sherehe kuiba nyama lililotokea Kata ya Bulela Halmashauri (mji) Geita

Kiufupi bila yeye kuwepo wachweji hawafanyi lolote huwa naona mnavyowasifia kina Mshana Jr nabaki kusema tu hamjui mlitendalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(++)(^^)(++)(^^)(++)^^(++)(++)^^(++)(++)==(^^):-|==(TT)(^^)==(^^)(++)(++)==(^^)==(++)(TT)^^^^(++)^^^^(++)^^^^(^^)(++):-[(++)==(^^)==(++)(+_+)(+
 
Umenikumbusha kasamwa niliwahi ishi pale miaka miwili.Kigoma road napajua.Nilikua nashangaa tu mahema ya waganga yanajengwa hadharani pembezoni mwa barabara.
 
Fisi ninavyofahamu ni miongoni mwa nyara za Serikali. Najiuliza hao wafugaji wana vibali?..
Hapa Geita Wilaya ya Mbogwe jirani kabisa na Nyanghwale nawasikia usiku...sijui ndiyo hao au?
 
Huyu jamaa alikuwa Chief Accountant wa Tritel, kampuni ya kwanza kabisa ya simu za mikononi. Kwakushirikiana na wenzake waliiba mpunga mrefu sana mpaka kampuni kufirisika. Kesi mahakamani wakashinda, lakini wale wahindi hawakuridhika waliporudi kwao wakafanya mambo ya kiswahili kwa walioshiriki wote.
Ikawa ikifika kipindi cha mwezi kuandama, jamaa anawehuka kabisa na kuanza kuropoka jinsi walivyosuka lile dili na kuifirisi kampuni, pia ilikuwa kama alishawahi kufanya kitu na wewe, yaani katembea na mwanamke/ mke wa mtu flani pale mtaani alikuwa anawataja hadharani (Wanawake na wake za watu waliokuwa wanapenda pesa waliaibika hapa, ilikuwa aibu tupu mtaani). Kikianza tu alikuwa akigawa vitu vyake (thamani) za ndani kwa majirani na kutumia hela hovyo. Yaani ilikuwa akimuona mtu na kitu chochote chekundu ananunua iwe kitambaa, nguo, ndio ili mradi kiwe chekundu. Hapa vijana tulipiga sana hela
Ilifikia hatua akaanza kutembea uchi wa mnyama, vijana tunamkamata (kumsitili) na kumpeleka Muhimbili hospital idara ya vichaa. Ule mwezi ukishaisha tu hali yake inarudi kuwa sawa vizuri kabisa.
Kwa hela aliyokuwa nayo, walishahangaika sana kwa waganga Afrika mashariki na kati lakini wapi, ilikuwa mwezi ukiandama tu hali inarudi vilevile.
Niishie hapa
Inaonekana unahabari Sana na maisha na matatizo yawatu...tuelezee na wewe unayofanya...
Maana nawewe yapo unayofanya ya sirini...hayajafichuka tu
 
Baada ya watoto watatu kuuawa na fisi huku watano wakijeruhiwa vibaya wilayani Nyang'wale mkoani Geita mkuu wa wilaya hiyo Bw.Wilson Shimo ameanzisha operesheni ya nyumba kwa nyumba huku akiwaonya wananchi wanaofuga makundi makubwa ya fisi kwa shughuli usafiri.

Akizungumzia matukio ya vifo hivyo mkuu huyo wa wilaya anasema tayari fisi ishirini na nane wameuawa katika operesheni hiyo na msako unaendelea usiku na mchana.

Kaimu afisa mifugo na uvuvi wilaya ya Nyangwale Bw. Dickson Msumari anasema fisi hao ni tishio na wamekuwa wakiingia mpaka maeneo ya mjini nyakati za mchana na kuua watoto.

Aidha, Mbunge wa jimbo la nyangwale Hussein Nassoro anasema wameomba nguvu kutoka mkoa Shinyanga ili kuwawinda hao.

Chanzo: ITV

Wasukuma na ushirikina sijui wakoje. Hao fisi wanatumika kuwawindia wanaowafuga kuanzia watu, mifugo na wanyama pori. Ushirikina mtupu
 
Mlemhola wamayo nabha bhabha,, koyomba gwa nhana gete eeee mbiti tolenajo neyo jiletwambeleja gete gete

Niliwahi kuishi Same Kilimanjaro sehemu moja inaitwa Gonja-Maole na wasambaa, kuna mzee nilitofautiana nae kidogo ni mzee wa kisambaa

Kiufupi alinikopesha pesa na nikamuahidi siku ya kumrudishia, ilipofika siku yenyewe sikuwa na pesa ya kumpa akadhani namfanyia makusudi kuwa nataka kumdhurumu

Akanitishia ushirikina kuwa atanifanyia kitu mbaya,, aliponiambia nilipata ujasiri wa kumdhurumu kabisa maana niliamini hawezi nifanyia chochote

Nikamuambia kabisa mzee sikulipi pesa yako nasubiri utimize kwanza ulichoniahidi, tukawa tunapishana tu namsalimia anaitikia kwa unyonge mpaka miezi miwili na kitu ikapita

Baadae nahis aliamini kweli namaanisha sina mpango wa kumlipa ikabidi aende kwa mwenyekiti wa mtaa

Mwenyekiti aliponifuata nikaona isiwe kesi ndo nikamlipa,,,, Nimekulia mtaaa fulani unaitwa Kigoma Road upo Halmashauri ya Mji Geita kata ya Kasamwa

Nadhani wanaofahamu matukio ya pale wataelewa nilikuwa natembea usiku mnene peke angu bila woga

Kuna ndg yangu ni kiongozi wa ngoma ( jamii ya wachweji) mkoa wa Geita nadhani hapa pia watu wa usukumani mnawajua wachweji ni watu gani, kanifundisha vitu vingi sana

Niliwahi kushuhudia tukio lake la kuua wachawi wawili waliokuwa wameenda kwenye sherehe kuiba nyama lililotokea Kata ya Bulela Halmashauri (mji) Geita

Kiufupi bila yeye kuwepo wachweji hawafanyi lolote huwa naona mnavyowasifia kina Mshana Jr nabaki kusema tu hamjui mlitendalo

Sent using Jamii Forums mobile app

shida sana nyie watu. Mmetuletea aibu ya albino. halafu hamkomi, Uchawi hauwasaidii lolote mnapoteza muda
 
Baada ya watoto watatu kuuawa na fisi huku watano wakijeruhiwa vibaya wilayani Nyang'wale mkoani Geita mkuu wa wilaya hiyo Bw.Wilson Shimo ameanzisha operesheni ya nyumba kwa nyumba huku akiwaonya wananchi wanaofuga makundi makubwa ya fisi kwa shughuli usafiri.

Akizungumzia matukio ya vifo hivyo mkuu huyo wa wilaya anasema tayari fisi ishirini na nane wameuawa katika operesheni hiyo na msako unaendelea usiku na mchana.

Kaimu afisa mifugo na uvuvi wilaya ya Nyangwale Bw. Dickson Msumari anasema fisi hao ni tishio na wamekuwa wakiingia mpaka maeneo ya mjini nyakati za mchana na kuua watoto.

Aidha, Mbunge wa jimbo la nyangwale Hussein Nassoro anasema wameomba nguvu kutoka mkoa Shinyanga ili kuwawinda hao.

Chanzo: ITV
Sasa fisi anatumikaje kama usafiri?
 
Back
Top Bottom