Elections 2010 Geita Twatimiza haki yetu

Kabuche1977

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
564
225
Wanageita wengi leo tulifurika katika vituo vya kupigia kura, hatimaye ile zawadi yetu tuliyomwahidi raiis wetu mtarajiwa imetimia, mimi na familia yangu----FirstLady1 na wadogo zetu tumepiga kura, labda CCM waibe kura zetu.

Nilijaribu kuwauliza wapiga kura wengine, ila kusema ukweli, raisi wetu mtarajiwa watu wengi wamempigia, asubirie kuingia ikulu. Ebu watu endeleeni kutuma habari.

Go Dr.Slaa, goooooooooooooooo!
 
Kumbe huyo kwenye red ni mywife wako!!
Hongera mkuu, hivi huugui ugonjwa wa wivu?
Hongereni kwa kutimiza haki ya kidemokrasia.
 
Jimmyyyyy! sina wivu, na hongera pia na wewe,

vipi huko ile zawadi yenu mmeikamilisha kama tulivomwahidi raisi wetu mtarajiwa?
Mabadiliko Daima
 
ngoja niendelee kufanya uchnguzi zaidi ingawa kuna matatizo ambayo nadhani yako Tanzania nzima watu kukosa majina yao ,wasiojua haki yao ya msingi kunyimwa haki ya kumpigia Rais kura kisa wengine wamekuja kikazi,kutembea ama kwa shughuli zao binafsi
 
Wanageita wengi leo tulifurika katika vituo vya kupigia kura, hatimaye ile zawadi yetu tuliyomwahidi raiis wetu mtarajiwa imetimia, mimi na familia yangu----FirstLady1 na wadogo zetu tumepiga kura, labda CCM waibe kura zetu.

Nilijaribu kuwauliza wapiga kura wengine, ila kusema ukweli, raisi wetu mtarajiwa watu wengi wamempigia, asubirie kuingia ikulu. Ebu watu endeleeni kutuma habari.

Go Dr.Slaa, goooooooooooooooo!

Tuache kumuongopea Slaa. Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe kwani lolote anaweza kufanya kwenye kura ake.Tusubiri matokeo uone
 
Jimmyyyyy! sina wivu, na hongera pia na wewe,

vipi huko ile zawadi yenu mmeikamilisha kama tulivomwahidi raisi wetu mtarajiwa?
Mabadiliko Daima
Zawadi tayari, na kuna ushahidi wa picha kwa asiyeamini!..au wote tubandike ushahidi kama alivyofanya Maria-Rose?
 
Tuache kumuongopea Slaa. Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe kwani lolote anaweza kufanya kwenye kura ake.Tusubiri matokeo uone

Wewe kama ni siri yako kalale kwako. Sisi wengine haijawahi kuwa siri mwanzo mwisho. Na pia mtu anayekudanganya ukimwangalia usoni utamjua...mfano wa mtu muongo ni pale JK anapoongea mwangalie utajua tu! Sisi siyo siri tumemtwangia Dr (wa kweli)
 
Tuache kumuongopea Slaa. Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe kwani lolote anaweza kufanya kwenye kura ake.Tusubiri matokeo uone

Iwe siri kivpi wakati hata mtu wako JMK ametangaza kura yake imekwenda kwa nani.
Ila nimemuona kuwa hajatulia maana anasema watu elfu kumi na tisa walijiandkisha na makadirio yalikuwa ni watu elfu ishirini na mbili. Ameshindwa kusema milioni, inaonyesha ana kiwewe cha kuiacha ikulu na kukatika kwa safari zake za kwenda kunywa chai kwa obama
 
mmmmh,me nahisi niache kuingia jf hadi matokeo yatoke maana napata pressure vile duh,how i wish to see changes
 
Back
Top Bottom