Geita: TAKUKURU yawadaka wafanyakazi watatu wa TRA wakiomba rushwa ya zaidi ya Tsh milioni 100 kutoka kwa wafanyabiashara

Yanatakiwa yapigwe sana hayo mahujumu uchumi,ndio yanayofanya biashara zinakuwa ngumu mitaani, yaani kuingia TRA inaogofya kuliko kuingia cello
 
Tusiamini kila tunachoambiwa.

Anyway, kesi ipo mahakamani tusubiri ushahidi na hukumu.
 
TRA staff ni waroho wezi walafi
Juzi juzi tu ikulu kulikuwa na mkutano rais akiwemo wamesemwa sana!
Hawa Inabidi sasa tuwatandike bakora hadharani

Ova
TRA kuna watu wana roho ngumu na tabia za ujambazi. Cleaning of that institution is inevitable.
 
Kuna huyu mdada ana kiumbo kidogo hapa TRA dodoma kitengo cha kukadiria chumba number 5 nadhani huwa anaomba rushwa kwa lazima. Her days are numbered... Aliniumiza sana kipindi flani na sijasahau.
 
Back
Top Bottom