Geita: Mvua imenyesha muda. Wenye tofali za udongo tuna kilio

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
Nawasalimu, nilipo ni wilaya yetu ya Geita jimbo la Mbunge wetu machachari anayejulikana kama Kasheku Musukuma. Mvua ambayo huwa sisi wakulima huwa tunaita"Mvua ya kuaribu matofali" au " Mvua ya kuotesha nyasi" Leo imenyesha kuanzia asubuhi ya saa mbili hadi mida hii ndipo imeanza kupunguza kasi, hii mvua mara nyingi huwa ni ya siku moja tu kabla ya masika kuanza na kwa bahati mbaya huwa haitabiriki hata na TMA.
 
Same applies hata huku singida hii mvua ya siku moja inataka kuleta balaa wenye mahindi Yao bado hawajayahifadhi Ni kilio... tuko ktk mchakato wa kazi hio leo
 
Nabaadhi ya maeneo jana kulifunga wingu zito sana sema haijanyesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom