Geita: Mke wa mfanyakazi wa GGM anyongwa

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
4,593
5,203
Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la mauaji ya mke wa mfanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa GGM, aliyekutwa amenyongwa nyumbani kwake jana Februari Mosi, 2022, majira ya saa 8:00 mchana.

Taarifa ya mauaji hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe na kusema tukio hilo limetokea mtaa wa Majengo, Kata ya Kanyara, halmashauri ya mji Geita, ambapo mwanamke huyo aitwaye Anjela Anteli (43), alikutwa amenyongwa.

Kamanda Mwaibambe, amesema kuwa mtu wa kwanza kugundua alikuwa bodaboda ambaye aliagizwa kupeleka maziwa nyumbani hapo na alipofika akagonga mlango bila mafanikio.
 
Kanda ya ziwa sio siri kunaongoza kwa matukio ya ajabu ajabu kama haya..jeshi la polisi wajipange kisawa sawa kukomesha haya masuala.

Cha kushangaza sana wanajua intelijensia za mikutano ya wapinzani.

Fanyeni kazi kwa weredi sio kwa kulinda maslahi ya wana siasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kipindi hiki wafanye sana kwa weledi matukio yamekuwa mengi mno dah
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linaendelea na uchunguzi kufuatia tukio la mauaji ya mke wa mfanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa GGM, aliyekutwa amenyongwa nyumbani kwake jana Februari Mosi, 2022, majira ya saa 8:00 mchana.

Taarifa ya mauaji hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe na kusema tukio hilo limetokea mtaa wa Majengo, Kata ya Kanyara, halmashauri ya mji Geita, ambapo mwanamke huyo aitwaye Anjela Anteli (43), alikutwa amenyongwa.

Kamanda Mwaibambe, amesema kuwa mtu wa kwanza kugundua alikuwa bodaboda ambaye aliagizwa kupeleka maziwa nyumbani hapo na alipofika akagonga mlango bila mafanikio.

ni mfanyabiashara wa mgodi au mfanyakazi wa mgodi.maana huo mgodi ufanyi biashara na wafanya biashara wa madini.
GGM ina weza kukupa tenda ya manunuzi ya vitu vingine na sio biashara ya wanacho kifanya
 
Na kwa nn hawaruhusu mkuu
 
Kanda ya ziwa sio siri kunaongoza kwa matukio ya ajabu ajabu kama haya..jeshi la polisi wajipange kisawa sawa kukomesha haya masuala.

Cha kushangaza sana wanajua intelijensia za mikutano ya wapinzani.

Fanyeni kazi kwa weredi sio kwa kulinda maslahi ya wana siasa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau watu wa idara ya ustawi wa jamii, umesahau wanandugu/wana ukoo, umesahau viongozi wa kidini na wakimila.

Mauaji haya mangi ni maswala ya kijamii, na mtu anakuwa anawaza ndani ya moyo wake ( mental contemplatation) which is purely social psychology. Katika hatua hii ya uhalifu ambayo haina physical preparation ambapo mtu anaweza kuyaona maandalizi ya uhalifu na akazuia kabla ya kutokea

Mara nyingi watu wa uhalifu huu huwa na mental preparation ambapo duniani kote hakuna kipimo cha kisayansi cha kupima ubongo wa mtu anawazaza nini kwenye ubongo wake

Kitu ambacho kinatakiwa ni idara za kijamii kutekeleza wajibu wao wa kuyaondoa mawazo hayo mabaya kwenye ubongo wao. Mfano mauaji mengi ni imani.za kishirikina hivyo jamii inahitaji elimu ya hali ya juu kuondoa dhana hizo potofu ndani ya mioyo ya watu.

Viongozi wa dini waache mahubiri ya sadaka wajue wana jukumu kubwa kuponya mioyo ya watu

Viongozi wa kimila wawe mstari wa mbele kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii na kuelimisha jamii juu ya kuacha mila potofu

Wataalamu wa psychological na watu wa ustawi wa jamii watoke maofisini waende kusikiliza watu wajue nini kilichojificha ndani ya mioyo yao wawape tiba za ushauri nasaha kuwaondolea mizigo hiyo michafu

Mamalaka za serikali zitende kazi zao kwa haki kama ni idara zinazohusiana na ardhi zitoe haki kwani mtu akiwa na haki na akafanyiwa tofauti na mamalaka anakuwa na chuki ya moyoni

Idara za maamuzi kama mahakama zitoe hukumu kwa haki bila ya kuangalia sana legal technicality maana mtu mwenye haki akiikosa kisheria anaweza kuwa na chuki ya kisasi

Watu wanaopotosha jamii kwa imani potofu za ushirikina kama wanaobandika matangazo mijini na kwenye magazeti ya FREEMASONS hawa ndio wachochezi wa imani potofu ambazo zinachangia mauaji. Hawa watu kuanzia mamlaka ya miji watumie sheria ndogondogo kuwathibiti kwanza wanachafua mji pili wanapotosha jamii

Wamiliki wa vyombo vya mawasiliano kama magazeti, blog na mitandao mingine ya kijamii wasikubali kupokea fedha za matangazo ya kitapeli ya freemasons kwani na wao wanashiriki kusambaza illusion ambazo mwisho wa siku zinaleta mauaji

Mara nyingi.polisi wanapata taarifa baada ya tukio hivyo kuna watu ambao walitakiwa wawe wamepata taarifa kabla ya tukio ao wameondoa.mawazo mabaya ya tukio na hawakufanya hivyo
 
Mawazo mazuri. Sayansi ya jamii itumike zaidi
 
Watanzania wengi wana social imbalance katika nyanja za kiroho, kimwili, kiakili na kihisia.

Kiroho, ni katika imani za kishirikina na miujiza ambazo zimetawala sana huku hisia hasi zilishamiri hivyo basi akili inawaza kufanya matendo ya kikatili kupitia mwili.

Binadamu anatakiwa awe na uwiano kiasi baina ya akili, hisia, imani na afya ya mwili. Hivi ni kama miguu minne ya stuli, ambapo kimoja kikizidi au kupungua basi mtu hayupo sawa.

Hata stuli mguu mmoja ukiwa mrefu zaidi stuli inaanguka.
 
Hapo kwenye sadaka hilo halipo kwao sadaka kwanza na ndiyo muhimu mkuu halafu unajua hawa wachungaji nao ndiyo wanachangia kuweka haya mawazo ya kishirikina kwa waumini wao.

Utasema mimi muongo sasa wewe siku jaribu kufuatilia kile kipindi cha yule jamaa Mwamposa yaan asilimia 95 kama sio na zaidi anawaaminisha wafuasi wake kuwa mambo mabaya yanayowatokea ni nguvu za Giza utasikia mara katapika nyoka mara paka cjui amekufa mara mtu ametoa haja yenye hirizi sasa unategemea nini mkuu hiyo dhana haiwezi kuisha.
 
Watanzania wengi wana social imbalance katika nyanja za kiroho, kimwili, kiakili na kihisia.

Kiroho, ni katika imani za kishirikina na miujiza ambazo zimetawala sana huku hisia hasi zilishamiri hivyo basi akili inawaza kufanya matendo ya kikatili kupitia mwili.

Binadamu anatakiwa awe na uwiano kiasi baina ya akili, hisia, imani na afya ya mwili. Hivi ni kama miguu minne ya stuli, ambapo kimoja kikizidi au kupungua basi mtu hayupo sawa.

Hata stuli mguu mmoja ukiwa mrefu zaidi stuli inaanguka.
Kabisa miguu yote minne lazima ibalance lakini hilo ni ngumu kwa jamii yetu.
 
Back
Top Bottom