Geita Gold mmenunuliwa na Yanga

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
 
Hii ndo shida ya kuwa na viongozi wa timu kama yule doctor wa heshima ambaye ni mwanachama wa utopolo.
Tutarajie magoli machache ni 5. -0
 
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Lamba ndimu kwanza ili kuondoa hicho kichefuchefu.
 
mwanzoni walisema yanga leo hawatoki.. na blah blah kibao, sasa hivi mnasema imenunua match.. kwani siku hizi simba haina hela
 
Huu ndiyo umbumbumbu halisi,semeni ukweli Yanga msimu huu ni bora,kumbukeni mechi yenu pia haiko mbali,nanyinyi tutawanunua pia
 
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!

Hopeless
 
Hizi timu za bongo njaa sana, hatuona mpira wa maana zaidi mabumunda hovyo kabisa

Lamba ndimu ili upate unafuu. Huna hoja.

Mechi ya mwisho ya simba dhidi ya biashara mlikuwa mnaongoza kwa goli 3 kwa bila mpaka kufikia dk ya 19! Kwa hiyo tuseme na nyinyi mlinunua mechi?

Ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu! Maana baadhi yenu thinking capacity iko chini sana.
 
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
ulihitaji kitu gani kitokee kwa yanga ili ufurahi,kila mtu ashinde mechi zake babuu.
 
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Taahira la mbumbumbu fc kwenye ubora wake,,kameze wembe kama wivu umekuzidi hii ndio yanga inakupiga kokote kule
 
Back
Top Bottom