Geita, Chato: Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, kutua nchini Tanzania Kumtembelea rais Magufuli

Hii safi sana sio kila siku watue Dar es salaam tu na kusababisha msongamano usio wa lazima...

Mh Rais safi sana siku hizi ziara zote kwawanaokuja kuzungumza na wewe watue chato baada ya mazungumzo waruke waende zao..
Wanatuletea foleni kubwa tu
 
Hizi ziara zinazomiminika hivi karibuni nini manufaa yake?
Au ndo utalii katika hifadhi ya wanyama #BURIGI?

Mimi na wewe tunasubiri nini, twendeni chato utalii wa ndani pia ni muhimu.
Regards
IMG-20190712-WA0047.jpeg
 
Mwaka huu hauishi namimi sijaenda chatoo kumsalimia mkulu na kuwaona ngedere wa burigi.
 
Museveni atasikitika sana akikutana na ile sanamu ya Kigwangala.Kwani ni moja ya viongozi wanaomheshimu sana na kumuenzi mwalimu.
 
Anatarajia kutua kupitia Chato International Airport,
Atatembelea Mbuga na Milima huko Chato

#ZIARA Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kesho Jumamosi Julai 13, atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini, ambapo atamtembelea mwenyeji wake Rais Dk. John Magufuli kijijini kwake Mlimani, Chato mkoani Geita na kufanya mazungumzo naye.

View attachment 1151773
Britannica
Hivi huyu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anatufanyizia Kazi Njema

[/QUOTEM
Mkuu hoi nipo hapa mbavu do!!
 
Back
Top Bottom