Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

Kuweka kila kitu Chato, si jambo a
Mbali lilimfurahisha kila mwenye akili, wakiwemo hao madiwani.

Kuna wakati unajiuliza juubya uwezo wa marehemu katika kufikiri na kufanya maamuzi, unashindwa kuelewa kama alikuwa sawa wakati wote maana kuna mambo ambayo hata average brain, hawezi kufanya.
Sorry, mimi sio pro-mwendazake but huaga sipendi pia mtu kusingziwa; hivi kuna siku mwendazake aliwahi kusema kwamba anataka Chato iwe mkoa? I hope hili lilisikiwa mara ya kwanza wakati wa mazishi yake
 
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato, je JPM angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu!! CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.

Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu! Sio sahihi Hata kidogo

View attachment 1799934
watu walikua wanaendeshwa kwa remote control saivi wameanza kujirudi. Kwenye akili zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraza la Madiwani Geita limeukataa Mkoa wa Chato, je JPM angekuepo wangeweza kukataa hiki kitu!! CCM wakikusifia au wakikubaliana na wewe ujue wana maslahi au ni Unafiki tu.

Wanajitahidi kufuta Legacy ya Shujaa wetu! Sio sahihi Hata kidogo

View attachment 1799934
Je kwa mwendo huu jina la Mwendazake litahifadhika kweli kwenye MAKABATI YOTE YA AFRIKA?
 
Back
Top Bottom