The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,140
- 51,013
Bila shaka wewe ndio hujaelewa!Kama huna Gari huwezi elewa
E ni herufi sio namba,kusema namba E ni makosa,namba ni 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9
Bila shaka wewe ndio hujaelewa!Kama huna Gari huwezi elewa
Scania T 130 ERZ 😟😳😳😳😎😎😎 tulishafika namba “E” kumbe?
Mkuu kuna Kitimoto ya kuchoma?Kesho kutwa namba zitaingia kwenye FAA!!!!!!!!!
Kwamba ukiambiwa taja plate number utataja kwa kuondoa herufi zake. Kama gari ni T 374 DDF ukitaja wewe utaondoa herufi utaje 374Bila shaka wewe ndio hujaelewa!
E ni herufi sio namba,kusema namba E ni makosa,namba ni 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9
E tumefika zaidi ya miezi miwili iliyopitaBado hatujafika kwenye E.
Hiyo itakuwa ni gari chotara. RwandaTanganyika.
Bora ingekuwa Ea lakini ERZ bado sana
Kwenye magari namba ni pamoja na hizo herufi .Bado hatujafika kwenye E.
Hiyo itakuwa ni gari chotara. RwandaTanganyika.
Bora ingekuwa Ea lakini ERZ bado sana
Hata kama tumefika herufi E,ndiyo iwe ERZ?? Hivi unadhani ni mchezo kuimaliza herufi na kwenda nyingine?? Tunaweza kaa miaka 3 hadi 4 ndiyo tunahama herufi! Bado tupo kwenye DRZ huko!E tumefika zaidi ya miezi miwili iliyopita
Kua muelewa,issue ni herufi iliyotumika ili kuwasilisha namba!Kwamba ukiambiwa taja plate number utataja kwa kuondoa herufi zake. Kama gari ni T 374 DDF ukitaja wewe utaondoa herufi utaje 374
Itakua IT iyo.Scania T 130 ERZ tulishafika namba “E” kumbe?
Scania T 130 ERZ 😟😳😳😳😎😎😎 tulishafika namba “E” kumbe?
Kua muelewa,issue ni herufi iliyotumika ili kuwasilisha namba!
Hiyo comment imetaja "Namba E" ndio akaambiwa E sio namba ni herufi,huo mfano wako hauhusiani na huo mjadala.
Kwa kutumia huo mfano wako,ina maana ukiulizwa number plate ya gari yako utasema "Namba T?"
Watu wanaongea kimazowea tu ila ni makosa.
Acha kukariri,Akili Zaki ndogo Kama za dadako E ni namba au herufi
USSR
Asante kwa kunisaidia naamini wewe ni learned bro! Umeelewa kwa wepesi sanaMkuu hao jamaa tukianza na Extrovert wameeleweka hata kama hawapo sahihi, hii ipo kimazoea zaidi.
Hauwezi kusema namba T kwa sababu hiyo haibadiliki, ipo constant, matoleo ya magari hayaiathiri.
Namba zinazobadilika ni hizo tarakim na herufi. Imekua kawaida na mazoea watu kutumia herufi kujua gari imesajiliwa lini.
Kwa mfano sasa hivi namba inayotawala ni D ambayo kama sikosei inaelekea ukingoni tuanze E, sasa wengi wameshangaa tumefika ERZ lini? Kwa mfumo tuliouzoea, hiyo ni gari imeingia karibuni na ina usajili wa mbele sana ukizingatia namba zinaenda kwa mfumo wa AAA hadi AZZ ndio ihamie herufi inayofuata.
Hayo mazoea yamepelekea ukisema herufi ukimaanisha usajili wa gari, watu hawatakuelewa, neno namba limetawala hata kama lengo ni hizo herufi.
Shukrani
Jamaa kanistua Sana wakati tushajiwekea malengo kuwa na E za mwanzon mwanzon nijiondoe kwenye kundi la wanaisrael Mara jamaa anakuja kusema saiz n ERZ dah nilitaka niwe mwarabu ninunue chasis niliweke nje watu wajue nina malengo.Scania T 130 ERZ 😟😳😳😳😎😎😎 tulishafika namba “E” kumbe?
Ukianzia wapi nimequote utaona naisema E na wala sio ERZ. Nami najua kuwa ERZ hatujafika bali ni makosa ya mwandishi ila E tumefikaHata kama tumefika herufi E,ndiyo iwe ERZ?? Hivi unadhani ni mchezo kuimaliza herufi na kwenda nyingine?? Tunaweza kaa miaka 3 hadi 4 ndiyo tunahama herufi! Bado tupo kwenye DRZ huko!
Nikiulizwa namba ya gari ndio nitataja T 374 DEF kama ndio hiyo. Wewe utataja 374 pekee?Kua muelewa,issue ni herufi iliyotumika ili kuwasilisha namba!
Hiyo comment imetaja "Namba E" ndio akaambiwa E sio namba ni herufi,huo mfano wako hauhusiani na huo mjadala.
Kwa kutumia huo mfano wako,ina maana ukiulizwa number plate ya gari yako utasema "Namba T?"
Watu wanaongea kimazowea tu ila ni makosa.