Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,037
Jamani huyu dadangu kama ni dada maana kule TANGA tunatumia zawadi kwa jinsia zote! Namuomba sana asinitie kichefuchefu cha kibondei hapa!!! Mbona asiziseme blandaz za mkwele anaesimama jukwaani nakuanza kucheza na kutoa ahadi? JE NDO mantiki ya kampeni hiyo? YUPI BORA aliesema tu maskini au alishindwa kujua chanzo cha umaskini wa watu wake? kwahiyo BONGO ni tajiri??? KAPUMZIKE mwaya usubiri mihogo na machungwa pamoja na uwono bonge!!!