GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GDP ndiyo kipimo cha Umaskini, Dr. Slaa alikuwa sahihi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zawadi Ngoda, Oct 29, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.

  Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
  Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.

  1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200

  2. Botswana...................................$ 15900


  3. Gabon..........................................$ 14900


  4. Libya.........................................$ 14900

  6. Afrika kusini.................................$ 10000

  .............................................

  ..................................................

  27. Ghana.......................................$ 1500

  ................................................

  ..................................................  30. TANZANIA...............................$ 1400

  .................................................

  ...............................................

  42. Malawi .....................................$ 800

  ....................................................

  ..................................................

  49. Liberia.....................................$ 500

  ..............................................

  52. Zimbabwe...........................$ 400

  Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.

  Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.

  Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.

  Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.

  Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  [​IMG]

  Tanzania imeendelea sana hebu angalieni foleni mjini Dar es Salaam na magorofa yanazidi ongezeka!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tatizo la zawadi huelewi nini maana ya indicators... wewe lako zogo na soga... kakojoe ulalee ehh mama, kesho ukiamka fnya usafi vaa kanga uliyopewa na blausi pika chai kunywa, jumapili jiandae na lizombe

  kwisha

  ndio maisha unayoyaweza hayo
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uongo wake mwisho Jumapili

  Popooooooooooooooooooooo Bawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  leo njo leo... wezi chanuuu,
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  maneno hayo aliyasema wapi , tuanze hapo kwanza, na alikua anazungumzia nini ?
   
 9. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hana akili huyu tuachane nae!
   
 10. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  muwe na masikio sikivu,juu ya hili alitamka inategemea unatumia kigezo gani lakini kwa taarifa zilizokuwapo katika bunge la afrika nchi shirikishi jamani tatizo letu hatusomi na kufanya comparison ya vitabu na report mbalimbali
   
 11. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wajanja wote wanaujua ujuha wa Slaa... ndo maana hawatampa kura. udomo kaya wa slaa hauna mshiko wala sifa ya kutinga mahali km ikulu.....
   
 12. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Aliyasema kwenye mdahalo wake, Ingia kwa Michuzi angalia KLIPP iliyopigwa na mwanakijiji.

  Sorry nilifikiri unaangalia MIDAHALO YAKE!!!!!!!!! ndio maana sikuandika wapi nimemsikia.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  mbona kila ukija ni yaleyale tu. kufikiri kumepungua nini? Tafuta jingine!
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Zawadi Ngoda...!!! Wewe ndo mtu pekee wa kutoka Tanga ulieona hilo moja tu!!!!! AFADHALI umeona uongo mmoja wa SLAA ukashindwa kuangalia ufisadi na dhuluma, vijembe na dharau za wazi wazi za huyu mkwele!!!! zawadi wee mbona sie kule TANGA hatuko hivyo????
   
 15. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  OK! Tuseme uko sahihi, basi naomba tafadhali source ambako nitakwenda kuhakikisha hilo.

  Chonde chonde naomba source!!!!!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nigerian scammers !
   
 17. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Zawadi Kagoda (Ngoda) hapa siyo taarab ulicholeta hapa ni GDP au? Je umelinganisha website ngapi? Toa uchafu huu hapa unachafua IQ zetu bure
   
 18. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Kagemro, nimekukimbiza! Inachukua muda gani kutoa SOURCE?

  Hata kama ni wataalam wa CHADEMA NDIO WALIFANYA utafiti tupe basi, mimi nitaukubali.
   
 19. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Niliyotoa hapo si GDP bali ni GDP per CAPITA.
   
 20. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  tizama
   
Loading...